mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Tuwasaidie wanawake wenye mazingira magumu au wale uliowaandika kwenye headline yako....[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] siwezi kuandika... dada zetu wamepigika wamelala vyumbani. Wengine hawajala na hawajui wataka nini.
Wanaume wa JF tuji organize tuanzishe mfuko wa kuwasaidia wanawake, tupate japo 1B TZS tuzi distribute kwa wanawake wote wanaoishi mazingira magumu.
Inauma mno mwanamke kulala njaa. Nimeumia mno... macho yote yamekuwa mekundu kwa uchungu wa kulia na sononeko. Nimelia kiume!
Tuanzishe harambee humu JF.
Uchovu et. 🤣🤣🤣🤣Umejuaje wamelala njaa mkuu, labda ni uchovu je?!
[emoji22]Umejuaje wamelala njaa mkuu, labda ni uchovu je?!
Wanapatikana mwananyamala sehemu gani?Mara nyingi huwa nikiwatazama hawa wanawake huwa nawaza kesho yao itakuwaje,yaan mwsho wa maisha yao ni upi
Hapo nimezungumzia wanawake wote kiujumla wanaofanya biashara hyo,mimi sipo huko darWanapatikana mwananyamala sehemu gani?
Eti mama anaupiga mwingi na uchumi umeimarika![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] siwezi kuandika... dada zetu wamepigika wamelala vyumbani desperately. Wengine hawajala na hawajui watakula nini.
Wanaume wa JF tuji organize tuanzishe mfuko wa kuwasaidia wanawake, tupate japo 1B TZS tuzi distribute kwa wanawake wote wanaoishi mazingira magumu.
Tuwa mobilize hata diaspora tuchange hela.
Inauma mno mwanamke kulala njaa. Nimeumia mno... macho yote yamekuwa mekundu kwa uchungu wa kulia na sononeko. Nimelia kiume!
Tuanzishe harambee humu JF.
Imenigusa hii[emoji25][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] siwezi kuandika... dada zetu wamepigika wamelala vyumbani desperately. Wengine hawajala na hawajui watakula nini.