Nimepita Mwananyamala, malaya wanatia huruma na nimelia machozi. Wanaume tuanzishe harambee

Sababu ya kukatisha sehem hiyo??
 
Mzunguko wa hela umekuwa mdogo, wateja wao wamebaki na hela za mahitaji ya msingi tu.
Hao wajasiriamali hata ukiwachangia hakuna au uwatoe hapo huko waendapo wataenda kufanya the same business. So tatizo lao kubwa ni spiritual na sio hizo bla bla sijui hawajala, mara macho mekundu hilo jiji Lina fursa waende kutafuta vibarua maana sio walemavu hao.
 
Harambee fanyia yatima, wajane. Hiyo ndio moja ya dini Safi isiyo mawaa mbele za Mungu.
Yak 1:27
Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
 
Wengi wao washenzi walishashindikana ktk familia zao, acha wale matunda ya mabaya yao, malezi waliyakataa kwa kujikita na makundi maovu na kujifanya wajuaji kuwaliko watangulizi wao(wazazi&walezi)

Wengi wa madada wajiuzao ni matokeo ya viburi na kutotii mafunzo ya wakubwa wao, ni wadada wangapi wana maisha magum lkn hawafanyi hivyo vitendo vichafu vya kujidhalilisha?.

Naona huwajui vzr hao wao wenyewe hawajionei huruma why ww uwaonee huruma?, Jaribu siku kuzungumza nao kiurafiki tu bila kuongelea biashara ya kuwataka uone utakavyoogeshwa matusi na maneno machafu machafu ndipo urudi hapa utajua kwann hakuna namna ya kuwaonea huruma bali wajionee huruma wao kwanza.

Serikali imejitahidi kutoa elimu juu ya madhara ya hizo biashara haramu za kuuza miili yao, si hivyo tu dini elimu kibao zimeshaeleza lkn wao hawabadiriki, unataka hawa watu wabadirike vip? Na ndio hawa hawa hutumia hata ushirikina kupata wateja inamaanisha wako tyr kwa lolote ili wabaki na huo uharamia wao[emoji23][emoji23][emoji23].

Hawa watu ni kutumia nguvu kuwashughurikia, kuna mashamba kibao huko mikoani hayana wenyewe yanahitaji kulimwa, si hivyo kuna shughuri nyingi nje ya uhuni na umalaya, hiyo tabia ya kuwalea lea na kuwaonea huruma wakat wao wenyewe hawajionei huruma ndio inazalisha uovu wao uzidi.

Ukweli mchungu
 
Hata kama ukimpa mtaji akishazoea haachi ndio maana nikasema wafukuzwe ili washike adabu. Akili itachangamka na atatafuta chochote halali cha kufanya. Kama vipi leseni za hiyo kazi zitolewe.
 
Mkuu; Uzi wako umetuchanganya kama ww ulivyochanganyikiwa na kuanza kuwalilia hao malaya wa Mwananyamala.
Yani kwenye Uzi unasema umepita Mwananyamala malaya wamejilalia vyumbani mwao njaa...n.k. baadaye unasema inauma sana mwanamke kulala njaa (as if mwanaume kulala njaa ni sahihi) tena unasema tuanzishe Mfuko tuchange tena ukasema tuanzishe harambee tuwasaidie.... pia umelia kiumeh, Dah! Mkuu pole sana, hebu tulia kidogo kaketi pale kwa Mangi pata 2 za haraka-haraka mi ntakuja kulipia.
 
Vile vyumba vishavunjwa
 
Hata kama ukimpa mtaji akishazoea haachi ndio maana nikasema wafukuzwe ili washike adabu. Akili itachangamka na atatafuta chochote halali cha kufanya. Kama vipi leseni za hiyo kazi zitolewe.
Washafukuzwa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…