Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Njia sahihi ya kuwasaidia ni kuwaungisha biashara yao kwenda kununua nyapu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KujiuzaTuwapeleke police kwa kosa gani?
Sababu ya kukatisha sehem hiyo??[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] siwezi kuandika... dada zetu wamepigika wamelala vyumbani desperately. Wengine hawajala na hawajui watakula nini.
Wanaume wa JF tuji organize tuanzishe mfuko wa kuwasaidia wanawake, tupate japo 1B TZS tuzi distribute kwa wanawake wote wanaoishi mazingira magumu.
Tuwa mobilize hata diaspora tuchange hela.
Inauma mno mwanamke kulala njaa. Nimeumia mno... macho yote yamekuwa mekundu kwa uchungu wa kulia na sononeko. Nimelia kiume!
Tuanzishe harambee humu JF.
Huyu atakuwa customer care wao.Sababu ya kukatisha sehem hiyo??
Harambee fanyia yatima, wajane. Hiyo ndio moja ya dini Safi isiyo mawaa mbele za Mungu.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] siwezi kuandika... dada zetu wamepigika wamelala vyumbani desperately. Wengine hawajala na hawajui watakula nini.
Wanaume wa JF tuji organize tuanzishe mfuko wa kuwasaidia wanawake, tupate japo 1B TZS tuzi distribute kwa wanawake wote wanaoishi mazingira magumu.
Tuwa mobilize hata diaspora tuchange hela.
Inauma mno mwanamke kulala njaa. Nimeumia mno... macho yote yamekuwa mekundu kwa uchungu wa kulia na sononeko. Nimelia kiume!
Tuanzishe harambee humu JF.
Hapana. Wapewe semina elekezi pamoja na mitaji ya kuanzia.Kwani wanategemea umalaya ili wale? Wafukuzwe kwa nguvu wakatafute kipato halali.
Are you sure? Familia bora ni ipi? FafanuaWengi wanatoka good family
Napendekeza Ubelgijitukupe humanity visa kaka, unapaswa kuishi uholanzi kbs
Mkuu; Uzi wako umetuchanganya kama ww ulivyochanganyikiwa na kuanza kuwalilia hao malaya wa Mwananyamala.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] siwezi kuandika... dada zetu wamepigika wamelala vyumbani desperately. Wengine hawajala na hawajui watakula nini.
Wanaume wa JF tuji organize tuanzishe mfuko wa kuwasaidia wanawake, tupate japo 1B TZS tuzi distribute kwa wanawake wote wanaoishi mazingira magumu.
Tuwa mobilize hata diaspora tuchange hela.
Inauma mno mwanamke kulala njaa. Nimeumia mno... macho yote yamekuwa mekundu kwa uchungu wa kulia na sononeko. Nimelia kiume!
Tuanzishe harambee humu JF.
Vile vyumba vishavunjwa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] siwezi kuandika... dada zetu wamepigika wamelala vyumbani desperately. Wengine hawajala na hawajui watakula nini.
Wanaume wa JF tuji organize tuanzishe mfuko wa kuwasaidia wanawake, tupate japo 1B TZS tuzi distribute kwa wanawake wote wanaoishi mazingira magumu.
Tuwa mobilize hata diaspora tuchange hela.
Inauma mno mwanamke kulala njaa. Nimeumia mno... macho yote yamekuwa mekundu kwa uchungu wa kulia na sononeko. Nimelia kiume!
Tuanzishe harambee humu JF.
Washafukuzwa mkuuHata kama ukimpa mtaji akishazoea haachi ndio maana nikasema wafukuzwe ili washike adabu. Akili itachangamka na atatafuta chochote halali cha kufanya. Kama vipi leseni za hiyo kazi zitolewe.
Hospitali ila pameshavunjwaWanapatikana mwananyamala sehemu gani?