Michael mbano
JF-Expert Member
- Apr 4, 2022
- 820
- 570
Kazi ambayo serikali imechukuwa muda kuiratibu lakini imetendeka ktk kiwango cha chini au kinachostaajabisha.
Anuani ya makazi unakuta wilaya nzima vibao vimeandikwa kwa majina ya watu hivi ilishindikana kabisa kufatilia kujuwa jina la mtaa la asili?
Au kuna watu walitaka kujitafutia umaarufu wakapenyeza rupia?