Michael mbano
JF-Expert Member
- Apr 4, 2022
- 820
- 570
- Thread starter
- #21
Hawajuwi wanamtangayi mtu biashara bila malipo.Huku Mazese Midizin kuna eneo linaitwa CUF wamelipa jina mtaa wa Pilot kisa kuna Pilot guest house mbili za Mkinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajuwi wanamtangayi mtu biashara bila malipo.Huku Mazese Midizin kuna eneo linaitwa CUF wamelipa jina mtaa wa Pilot kisa kuna Pilot guest house mbili za Mkinga
Haya mf tu.Niombe mfano wa anuani ya makazi kamili kwani hadi sasa sijaona specimen. Tafadhali.
kumbe hahahaaaa.Wivu tu, ikulu ya magogoni unajua iko mtaa gani? Barack Obama drive.
Unaijua kawawa Road? Nyerere Road, Mandela Road nk?
Sasa kama wananchi kuchangia vibao mmekataa akajitolea mtu kununua kwanini asiupe huo mtaa jina Lake?
Nasema hivi, anayemlipa mpiga ngoma ndiye huchagua wimbo.
Shika hiyo kanuni itakusaidia usiwe na makasiriko maishani
Hapana,Kuna jamaa kajenga ghorofa kubwa Sana,halijaisha bado,huo mtaa umepewa jina lakeLabna Ndio waazilishi wa mtaa. Na imekuwa ikifahamika hivyo miaka Na miaka ndio maana wanaendeleza desturi hiyo. you never know
Sifa wanapata.Jamiiforum kuna vitoto vya fb... Mtu kaleta hoja ya msingi wewe waleta maskhara...
Maeneo yote hapa nchini, jamii yenyewe ilishayapa majina yake na yashazoeleka... Hata kama ni majina ya watu... Mfano tandale kwa tumbo...au kwa mtogole... Yaani tayari ni maarufu na hayana shida...
Sasa haka kautaratibu kwa anuani za makazi ilikuwa very simple kuregester tu yale majina yaliyokuwa yanatumika zamani basi...
Unakuta kila sehemu kila kitu kinapewa jina la nyerere, mara kilimanjaro... Yaani ili mradi kutengeneza kamrija ka upigaji... Kwa wakurugenzi na watendaji wa miji... Wale wanaotaka majina yao yawe majina ya mtaa au barabara upeleke maombi na rushwa...
Wacha wajipigie sie twaangalia... Sijui wanazidisha nini katika umri wao...
Umejibu kwa mihemko, ilitolewa Budget ya kufanya hili zoezi, billions of Tsh za walipa Kodi,alafu Leo hii wewe unashabikia watu Fulani kulipia hivo vibao hujiulizi hata Budget Ile ilienda wapiWivu tu, ikulu ya magogoni unajua iko mtaa gani? Barack Obama drive.
Unaijua kawawa Road? Nyerere Road, Mandela Road nk?
Sasa kama wananchi kuchangia vibao mmekataa akajitolea mtu kununua kwanini asiupe huo mtaa jina Lake?
Nasema hivi, anayemlipa mpiga ngoma ndiye huchagua wimbo.
Shika hiyo kanuni itakusaidia usiwe na makasiriko maishani
Hivi jina la mtaa linatosha kufikisha barua etc? Naamini hiyo haijakamilika ndio maana nahitaji sampuli mfano kama upo.Haya mf tu.