Michael mbano
JF-Expert Member
- Apr 4, 2022
- 820
- 570
duhKikubwa pafahamike, huyo mtu ana umaarufu wake
Amin c habari ya kutungwa.Nikiweka majina hapa bado tutakuwa tunazidi kumpaisha mtu badala ya mtaa.Niombe mfano wa anuani ya makazi kamili kwani hadi sasa sijaona specimen. Tafadhali.
Eti mahala pameandikwa Mbilinyi road.Halafu kwa mbele unakuta Mbilinyi gesti.Kawaida tu hiyo acha roho mbaya
Mzumbe sio India!! Ya kuunga unga.Mie sikutegemea maajabu yoyote kwenye jambo lililosimamiwa na Nape, makelele tu lakini kichwani hamna kitu na mastaz yake ya India!.
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Huku Mazese Midizin kuna eneo linaitwa CUF wamelipa jina mtaa wa Pilot kisa kuna Pilot guest house mbili za MkingaEti mahala pameandikwa Mbilinyi road.Halafu kwa mbele unakuta Mbilinyi gesti.