Nimepitia mengi toka 2013 kwa kufupisha fupisha story hii mpaka 2023

Tafuta Movie ya sisu ikufariji, ushushie na soda baridi huku ukijipiga kifua kwamba wewe ni mpambanaji.
 
Umeweka # baada ya uzi mreeefu wa cv. Ok manager's waajiri changamkieni chuma hiko,kazi kubwa mshahara kidogo unamtosha! Keshajenga huyu
 
Umeweka # baada ya uzi mreeefu wa cv. Ok manager's waajiri changamkieni chuma hiko,kazi kubwa mshahara kidogo unamtosha! Keshajenga huyu
Daaah 🀣 πŸ™Œ oya unataka tushi kwa mshahara mdogo kwa utawala huu wa Samia tutatoboa kweli πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Mkuu hongera kwanza kwa uvumilivu na pia kwa iutokuwa na tamaa

,lakini swali langu lipo kwenye ujenzi wa nyumba yako na huku una familia kwa kuzingatia mshahara wako mbona kama najikuta mm ni mzembe kwa kutokujenga mpaka sasa? Au una biashara nje ya mshahara wako?
 
Imeandaliwa na Jumanne Mwita
Na sasa imebaki kua Mali ya JF, good job vijana wajifunze mbio za sakafuni uishia ukingoni na kiburi sio maungwana za mwizi arobaini mtaka cha uvunguni sherti ainame ndundundu si chululu
 
Hawezi kukwambia kila kitu mengine ni Code ngumu
Maisha ni funzo kubwa sana na yana siri kubwa sana.
 
Ndugu yangu nikujinyima na ili ufanikiwe inahitajika roho nyingine tofauti na unayoimiriki.

Ukitaka kufanya kitu kwanza usiangalie ukubwa wa kile kitu wewe fanya utakapochokea hapo ndio utaona nimefika wapi mbona sifiki tu.
 
Safi sna. Vijana wengi wako na haraka ya mafanikio.over one nigty tu.
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Safi sna. Vijana wengi wako na haraka ya mafanikio.over one nigty tu.
Ni sahihi wengi huzani njia ya mkato ndio njia sahihi ya wao kubadili maisha, kumbuka huyo unaemuibia pesa yake kaifanyaje unaweza kufanikiwa kuiba ila pesa ikaisha bira kufanya ulichokuwa unakikusudia, yaani kiufupi hela za mataji wengi no mauza uza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…