Nimepitia mengi toka 2013 kwa kufupisha fupisha story hii mpaka 2023

Maswa mlikuwa mnapambana na Maboto? 2013 kipindi hicho mvua ikinyesha kidogo tu Maswa umeme unakatika wiki zima, mnaambiwa nguzo zimeangukaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Hongera sana kijana kwa kupambana bila kukata tamaa. Ahsante kwa ushuhuda.
 
Maswa mlikuwa mnapambana na Maboto? 2013 kipindi hicho mvua ikinyesha kidogo tu Maswa umeme unakatika wiki zima, mnaambiwa nguzo zimeanguka[emoji2][emoji2]

Hongera sana kijana kwa kupambana bila kukata tamaa. Ahsante kwa ushuhuda.
Hahaha [emoji3] ni kweli aisee na lilevumbi sasa bora kwa sasa hivi kuna kilami kinakatiza pale [emoji38]
 
Pole Sana na hongera sana kwa upambanaji,, kufanya kazi kwenye hizo ofisi za mikopo kuna hitaji moyo Sana.
Bora yako ulikua unapata ka mshahara wengine malipo yalikua ni msosi unaokula tena msosi wenyewe wa magumashi
 
Kazi yeyote inahitaji uvumilivu aisee, wengine wanapitia mengi mno
 
Hongera nimependa japo ndefu ila mmesoma brother
 
keep it up nigga
 
Nimeisoma stori yote

Nilichojifunza:-

✦ Uaminifu
✦ Subra
✦ Juhudi
✦ Network na watu
 
Umri wako pia hongera sana wa kupata mjengo kw ela ndogo
 
Hongera sana ni ujumbe mzuri ambao ni kama daraja,mlango ambao vijana na watu wengine tukiufuata tunatoboa...... uaminifu ni mbegu nzuri ambayo malipo yake ni mema inaweza isiwe leo ila hata kizazi chako Mungu atawatengenezea njia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…