Nimepitia mengi toka 2013 kwa kufupisha fupisha story hii mpaka 2023

Hongera sana kwa upambanaji, uliwezaje kujenga nyumba mbili kwa mshahara wa laki mbili na nusu? Ulikuwa unafanya nini kingine?
 
Kila la kheri, maisha ni kupambana
 
Juma hongera....

Ila nyumba mbili. Nu hizi wanazojenga milioni 30 au ni aina gani? Maana unalalamika ila nyumba zinapanda.....
 
Inatia moyo kwa kweli, ubarikiwe, na ufanikiwe zaidi
 
Katika Maisha Suala la uaminifu, uvumilivu na juhudi/bidii ni muhimu mno hii inawashindaga wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…