BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Okay huna haja ya kujua imetoka wapi, wewe anza kutumia pesa. Labda ni gawio. Lakini kwa nini ujipe shida ya kujiuliza maswali yasiyo na majibu au huna shida na pesa, basi kazitoe uwape wenye uhitaji.Nimechiki account hela imeingia kwenye account yangu.
Hizo sms za CRDB na hiyo namba ya sm ni yao.Anatuona sisi wehu [emoji28]
Asante. Nitatumbua mdogo mdogo maana ikifika wakati wa kulipa misuli yangu sio mizitoOkay huna haja ya kujua imetoka wapi, wewe anza kutumia pesa. Labda ni gawio. Lakini kwa nini ujipe shida ya kujiuliza maswali yasiyo na majibu au huna shida na pesa, basi kazitoe uwape wenye uhitaji.
Huyo ni mleta tangazo lake mwenye kuleta Uzi Huu kuwa wiki endi hii ana milioni moja plus ya kutumbua. Siyo Mimi kabsaaaa.We si umesema CRDB?
Hakuna meseji kama iyo
Nilichanganya madesa😀Huyo ni mleta tangazo lake mwenye kuleta Uzi Huu kuwa wiki endi hii ana milioni moja plus ya kutumbua. Siyo Mimi kabsaaaa.
Bila shaka ni bank tofauti,,hao watakuwa CRDB labda walimtumia hapoInatakiwa iwe ivo. Na usiweze reply. Hiyo namba ya cm hapo ya nn? Piga upigwe.
View attachment 2741990
Hata mimi nimepokea kiasi hicho lkn account ya Nmb au itakuwa ni sehemu ya mgao wa mwarabuJuzi nimepokea from bank tshs 1m plus....niliziacha labda watachukua ila Kila nikicheki mzigo umo!
Yaani hizi hela zinanifanya nisilale Kwa Amani Kwa tamaa ya kutaka kuzitumia...
Nizitumbue au?
Ps. Sikua nasubiria hela kokote
Bila shaka mtumiaji wa CRDBJuzi nimepokea from bank tshs 1m plus....niliziacha labda watachukua ila Kila nikicheki mzigo umo!
Yaani hizi hela zinanifanya nisilale Kwa Amani Kwa tamaa ya kutaka kuzitumia...
Nizitumbue au?
Ps. Sikua nasubiria hela kokote
Zitafune hayo ni mambo ya DP World wameshaanza kuonyesha makeke yao.Juzi nimepokea from bank tshs 1m plus....niliziacha labda watachukua ila Kila nikicheki mzigo umo!
Yaani hizi hela zinanifanya nisilale Kwa Amani Kwa tamaa ya kutaka kuzitumia...
Nizitumbue au?
Ps. Sikua nasubiria hela kokote
Subiri mda si mrefu watakupigia uwarudishie amana yao usijali inabidi uirudishe tu[emoji23][emoji23]Juzi nimepokea from bank tshs 1m plus....niliziacha labda watachukua ila Kila nikicheki mzigo umo!
Yaani hizi hela zinanifanya nisilale Kwa Amani Kwa tamaa ya kutaka kuzitumia...
Nizitumbue au?
Ps. Sikua nasubiria hela kokote