Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

Hawa wako chapu Niko mkoani napokea kwa haraka sana
 
Msaada wakuu nataka kuagiza kitu aliexpress__ila kwenye kujaza info za account nimeweka (kadi ya airtel master card__ila wananilitea hivi) naomba msaada kwenye hili
 
Nmejaribu kuangalia kwenye laptop shipping fee zao kubwa sana yaani, kwa mfano pia nmetafuta HeatPress ya 5 in 1, machine ambayo wao wanauza $120 tu ila Shipping fee naambia $250 ukijumlasha hapo $350
Unaweza kutumia kampuni za cargo kwasasa ni njia rahusi sana ya kuagiza mizigo.

Unaweza kuwachek watu wa cargo mfano Silent ocean (details zao ziko IG) unawauliza kusafirisha mzigo wako ni gharama kiasi gani then utawambia mzigo ulipochukulia watakupa adress yao ofisi zao zlizo karibu na mahali uliponunua mzigo. Unakua umerahisisha sana kaz.
 
Nadhani kwa vitu vyenye thaman kubwa ni safe kutumia hawa agents wa kuagiza mizigo wenye ofis zao hapa tanzania unaongea nae bei wanakuletea mzigo na wao ndo wanasimamia kila kitu mpaka mzigo ukufikie
Mkuu unaweza kuelezea namna gani nitawaunganisha muuzaji wa aliexpress na hawa safirishaji Let say Mapembelo cargo au silent ocean
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…