Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

Mm niliagiza nokia kupitia alibaba na zimenifikia salama kwanaye hiaji kwa bei ya jumla 21000/= rejareja 25000/=
FB_IMG_16824966373009622.jpg
FB_IMG_16826343112568042.jpg
 
Na kuhusu sehemu ya kupokea mizigo mara nyingi huwa ni kwenye ofisi za posta pale lakini wakati mwingine supplier anatumia wasafirishaji ambao hawaleti mizigo posta


Mfano mwezi huu kuna mzigo nilinunua lakini suppliers hakutumia njia ya posta na mimi nilikua sifahamu hilo kwahyo mimi nilienda posta nikawaonesha tracking number ndo wakaniambia Huo mzigo wako umepokelewa na Kampuni nyingine ya Speedaf ambayo ofisi zake zipo mikocheni so nikaenda zangu mikocheni mtaa wa Ursino nikabeba mzigo wangu

Hapo chini nimeweka tracking ya huo mzigo niliochukua juzi katiView attachment 2444038
Hawa wako chapu Niko mkoani napokea kwa haraka sana
 
Msaada wakuu nataka kuagiza kitu aliexpress__ila kwenye kujaza info za account nimeweka (kadi ya airtel master card__ila wananilitea hivi) naomba msaada kwenye hili
IMG_9943.jpg
 
Nmejaribu kuangalia kwenye laptop shipping fee zao kubwa sana yaani, kwa mfano pia nmetafuta HeatPress ya 5 in 1, machine ambayo wao wanauza $120 tu ila Shipping fee naambia $250 ukijumlasha hapo $350
Unaweza kutumia kampuni za cargo kwasasa ni njia rahusi sana ya kuagiza mizigo.

Unaweza kuwachek watu wa cargo mfano Silent ocean (details zao ziko IG) unawauliza kusafirisha mzigo wako ni gharama kiasi gani then utawambia mzigo ulipochukulia watakupa adress yao ofisi zao zlizo karibu na mahali uliponunua mzigo. Unakua umerahisisha sana kaz.
 
Nadhani kwa vitu vyenye thaman kubwa ni safe kutumia hawa agents wa kuagiza mizigo wenye ofis zao hapa tanzania unaongea nae bei wanakuletea mzigo na wao ndo wanasimamia kila kitu mpaka mzigo ukufikie
Mkuu unaweza kuelezea namna gani nitawaunganisha muuzaji wa aliexpress na hawa safirishaji Let say Mapembelo cargo au silent ocean
 
Back
Top Bottom