Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

Ali express ni waziristan kiasi ila shida yao ni muda wa kusafirisha mzigo .
Mm niliagiza flash kutoka Ali express ilichukua muda wa miezi 2 kunifikia.

Ila kwa sasa nashukuru nimehamia Alibaba naagiza mizigo na kunifikia chapu.
 
Nmejaribu kuangalia kwenye laptop shipping fee zao kubwa sana yaani, kwa mfano pia nmetafuta HeatPress ya 5 in 1, machine ambayo wao wanauza $120 tu ila Shipping fee naambia $250 ukijumlasha hapo $350
Njoo nikupe shipping agent mkuu
Utasafirisha kwa $50 tu.
 
Ali express ni waziristan kiasi ila shida yao ni muda wa kusafirisha mzigo .
Mm niliagiza flash kutoka Ali express ilichukua muda wa miezi 2 kunifikia.

Ila kwa sasa nashukuru nimehamia Alibaba naagiza mizigo na kunifikia chapu.
Aisee na Mimi nimekuwa interested na Hawa Alibaba itabidi nikucheck mkuu Kwa maelekezo kidogo
 
Mi pia nimepokea August 4 mwaka huu nimelipa 2350 ila mzigo niliagiza imekaa miezi 10 ndo ukafika
 
Tumia shipping agent kama aramex Mkuu
 
Jamani na mie nisaidieni postal code ya dodoma nijaribu kuagiza kamzigo kwa anaejua plz [emoji120]
 
Nahitaji kuagiza gaming laptop moja from Alibaba (maana nimeona zina unafuu wa Bei kidogo)
, mwenye uzoefu anijuze, taratibu zake zinakuwaje. Na je Alibaba wanauza kitu kimoja kimoja?
Alibaba ni kwa ajili ya vitu vya jumla lakini suppliers wengine wanauza hata moja

Angalia pale walipoandika MOQ(minimum order quantity) utaona

Ila kwann usitumie Aliexpress uepushe complications
 
Alibaba ni kwa ajili ya vitu vya jumla lakini suppliers wengine wanauza hata moja

Angalia pale walipoandika MOQ(minimum order quantity) utaona

Ila kwann usitumie Aliexpress uepushe complications

Aliexpress nimechek nimekuta bei zake ni ghali (gaming laptop), ndio maana nikaenda kucheki alibaba. Nikakuta price zake zina unafuu
 
Nahitaji kuagiza gaming laptop moja from Alibaba (maana nimeona zina unafuu wa Bei kidogo)
, mwenye uzoefu anijuze, taratibu zake zinakuwaje. Na je Alibaba wanauza kitu kimoja kimoja?
Boss naweza kukuguide, free out of any charge.....utafanya wew mwenyewe....mim ntakuwa nakupa tu maelekezo, mtendaji utakuwa ni wewe....na kwa yetote humu jukwaani

#0622506787...if it'll be inbox au public , pote sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…