Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

Mwaka jana mwanzon hivi au mwaka juzi nilinunua biadhaa hiko allyexpress na hela wakakata baadaye nambiwa mzigo haupo hivyo itarudishwa hela

Kaka mpaka kesho
Hela haijawahi fika ilikiwa kitu cha thaman ya 80k+
 
Mimi nimekoseapost code ila sanduku la posta liko sawa japo sio langu.
Je mzigo wangu utanifikia??Hapa naambiwa mzigo imefika naupataje au ndio nitulie mpaka nipigiwe simu
 
Nawasalimu ndugu zangu, nataka kuagiza hii adjustable table ni site gani naweza kutumia kuagiza mfano Alibaba au Aliexpress, wenye uzoefu tafadhali. Bei yake inaanzia $140
 
Je Inabidi ufungua Post box address yako binafsi
 
Nawasalimu ndugu zangu, nataka kuagiza hii adjustable table ni site gani naweza kutumia kuagiza mfano Alibaba au Aliexpress, wenye uzoefu tafadhali. Bei yake inaanzia $140View attachment 2565120
Alibaba mara nyingi wanauza Wholesale so itategemea na muuzaji mwwnyew maana kuna wengine wanawake Minimum Quantity pc 10 au Pc 5 au hata Pc 100, na kuna Sellers wengine minimum quantity ni Pc 1 ya hyo bidhaa, Ila Ali Express wanauza kwa rejareja tu, so kwa bidhaa moja moja ni vema ukatumia AliExpress
 
Hivi mkuu mizigo inayokuja na ndege ikifika bongo si inapitia customs kwanza?Hizo office za customs zipo wapi?

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 

Zipcode ya posta ya mkoa wa daslam ni ngapi msaada
 
Postcode!


Arusha
Arusha (1865)
Dar Es Salaam
Dar Es Salaam (565)
Dodoma
Dodoma (3923)
Geita
Geita (2581)
Iringa
Iringa (2289)
Kagera
Kagera (4043)
Katavi
Katavi (1028)
Kigoma
Kigoma (1862)
Kilimanjaro
Kilimanjaro (2660)
Lindi
Lindi (2870)
Manyara
Manyara (2302)
Mara
Mara (3122)
Mbeya
Mbeya (3400)
Mjini Magharibi
Mjini Magharibi (84)
Morogoro
Morogoro (4122)
Mtwara
Mtwara (3941)
Mwanza
Mwanza (4067)
Njombe
Njombe (2164)
Pemba North
Pemba North (62)
Pemba South
Pemba South (62)
Pwani
Pwani (1914)
Rukwa
Rukwa (2186)
Ruvuma
Ruvuma (4126)
Shinyanga
Shinyanga (3017)
Simiyu
Simiyu (2970)
Singida
Singida (2602)
Songwe
Songwe (1715)
Tabora
Tabora (4231)
Tanga
Tanga (5249)
Unguja North
Unguja North (62)
Unguja South
Unguja South (61)

ABOUT US
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…