Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

Njia nzuri ya kulipia bidhaa mtandaoni ni ipi?
Njia nyingine rahisi ingia Mpesa utengeneze virtual visa card ambyo zaman walikua wanaiita master card, unapewa namba ya card, expire date na security code kabisa then unadeposit kias unachohitaj kulipia kwenye hiyo visa card yako tena kutoka kwenye mpesa yako tu unafanya malipo kabosa
 
Na hamna wa kumdai daah hiyo risk nilipanga niagize nimeghail

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kudai. Nina experience ya eBay kama kuna shida haujapata mzigo au umetumiwa product ambayo sio sawa na description iliyowekwa kwenye Website unaweza ukafungua 'Dispute" una option za kutumiwa mzigo mwengine au kuomba Refund. Nilishawahi kurudishiwa pesa yangu. Ila ilibidi nikawaambie Bank kuwa kuna refund transaction yangu, ikawa effected kwa balance.

PS. Seller ana uwezo wa kujua kama mzigo kweli haujaupata. Usidhani unaweza kupokea mzigo alafu uka'claim haujapata. Sababu Wabongo sometimes miyeyusho sana. 🤣🤣
 
Hapana mkuu izo jokes tuu muhimu maendeleo. Sasa wacha na mie niagize mzigo. Vipi unaweza agiza hadi spare parts za gari?
Sasa hapo ukiingia kwenye app yap search hyo spare jina lake kama kuna suppliers wanaziuza utaziona, though sijawah kuonaa ila mara nying products zinazokuja ukiwa una peruzi app yao ni zile ambazo umekua interested sana kuzifungua so wanarecommend aina flan ya bidhaa, so cheki app yao au website search product husika uone results
 
Unaweza kudai. Nina experience ya eBay kama kuna shida haujapata mzigo au umetumiwa product ambayo sio sawa na description iliyowekwa kwenye Website unaweza ukafungua 'Dispute" una option za kutumiwa mzigo mwengine au kuomba Refund. Nilishawahi kurudishiwa pesa yangu. Ila ilibidi nikawaambie Bank kuwa kuna refund transaction yangu, ikawa effected kwa balance.

PS. Seller ana uwezo wa kujua kama mzigo kweli haujaupata. Usidhani unaweza kupokea mzigo alafu uka'claim haujapata. Sababu Wabongo sometimes miyeyusho sana. [emoji1787][emoji1787]
Mi nashangaa jamaa anajibu kwa confidence kabisa [emoji16] ndio Nikamuuliza unajua kazi ya dispute?
 
tuone risit boss
Sema lingine boss

Screenshot_20220214-104757.png

Screenshot_20220214-104833.png

Screenshot_20220214-104813.png
 
Back
Top Bottom