Nimepokea mzigo wa kwanza kutoka AliExpress

Mizigo yao siku hizi inaletwa hadi mlangoni na watu wa Kikuu. Taabu kubwa ilikuwa ni pale mizigo ilipokuwa ikipitia posta.
Aanha hiki ndio nilitaka kujua, natumia Kikuu ila hawana bidhaa nyingi kama Aliexpress, nilishindwa kutumia Aliexpress kwa mambo hayo hayo ya Posta... ngoja nijaribu nione
 
Wakuu habari.

Baada ya kusoma ule uzi ambao jamaa alielezea jinsi ya kuagiza smart watch kutoka AliExpress na mimi nikasema wacha nijaribu.

Kuna simu yangu ilivunjika kioo nilipouliza dukani nikaambiwa kinauzwa laki na nusu.
Nikasearch AliExpress nikakuta kinauzwa 58,000.

Niliweka oda na nikatakiwa kulipia, kwenye malipo nilitengeneza TigoPesa master card ya miezi mitatu, ndipo nikarudi aliexpress kufanya malipo.

Nilichokifanya nilichaguwa supplier mwenye shipping fee ya chini kabisa ambapo nilipata wa gharama ya TZS 3000. Kwenye malipo tigo walinikata 6000 (sijui walikata kwa kutumia rate gani)

Mwisho wa siku kioo cha laki na nusu dukani kimefika mkononi mwangu kwa 67,000 ndani ya wiki mbili.

My take:
Ukinunua kitu AliExpress usichoke kusearch suppliers tofauti.

View attachment 2767655, kwenye kitu unachokitaka kuna suppliers wana "free shipping"
Hongera.
 
Hongera sana mkuu, nilijaribu kiagiza sikuwa nafuatilia sana kumbe CORONA ndiyo ilikuwa inaanza kule. Mzigo ulikaa mpaka nilikata tamaa, ila hatimaye ulifika kwa njia ya posta. Posta kwa saizi wapo vizuri wanakutumia meseji Kama mzigo ukifika.
 
Wakuu habari.

Baada ya kusoma ule uzi ambao jamaa alielezea jinsi ya kuagiza smart watch kutoka AliExpress na mimi nikasema wacha nijaribu.

Kuna simu yangu ilivunjika kioo nilipouliza dukani nikaambiwa kinauzwa laki na nusu.
Nikasearch AliExpress nikakuta kinauzwa 58,000.

Niliweka oda na nikatakiwa kulipia, kwenye malipo nilitengeneza TigoPesa master card ya miezi mitatu, ndipo nikarudi aliexpress kufanya malipo.

Nilichokifanya nilichaguwa supplier mwenye shipping fee ya chini kabisa ambapo nilipata wa gharama ya TZS 3000. Kwenye malipo tigo walinikata 6000 (sijui walikata kwa kutumia rate gani)

Mwisho wa siku kioo cha laki na nusu dukani kimefika mkononi mwangu kwa 67,000 ndani ya wiki mbili.

My take:
Ukinunua kitu AliExpress usichoke kusearch suppliers tofauti.

View attachment 2767655, kwenye kitu unachokitaka kuna suppliers wana "free shipping"
Bora ulivyoshea, it means a lot to me na wengineo ambao tupo interested na kuagiza mitandaoni, tulisoma ule Uzi wa kikuu na tukawa na mashaka na hawa wa online, siku nikijaribu nami nitaleta mrejesho
 
Tufundishe jinsi ya kujiunga na hiyo tigo mastercard mkuu !
Rahisi sana,
Unapiga:
*150*01#
7. Huduma za kifedha
7. TigoPesa Kadi
1. Tengeneza kadi mpya...
then utachagua ikiwa unataka ya kutumika mara moja ama unataka ya miezi mitatu (zote kutengeneza ni bure)
Ukimaliza apo apo unatumiwa apo apo unatumiwa namba ya kadi yako, jina na zile namba tatu za siri unazozitumia kulipia kwenye mtandao.
 
Hakuna agent, nyoosha maelezo
Maelezo yepi unayoyataka??

Nimesema jana nilipigiwa simu nikaambiwa tumepokea mzigo wako kutoka AliExpress, unatakiwa uje uufate ofisini.
Sikutaka kuuliza kama wao ni agents au ni ofisi ya AliExpress, muhimu nililipia gharama ya usafirishaji mzigo kwa supplier, njia alioitumia yeye kusairisha sio lazima kwangu, muhimu mzigo umefika kwenye anuani yangu.

Kwenye kutrack imeandikwa delivered by local delivery company, sasa hawa local delivery company ni sio agent ni AliExpress??
 
Attachments

  • 20230930210655.jpg
    20230930210655.jpg
    44.3 KB · Views: 5
Back
Top Bottom