Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Aanha hiki ndio nilitaka kujua, natumia Kikuu ila hawana bidhaa nyingi kama Aliexpress, nilishindwa kutumia Aliexpress kwa mambo hayo hayo ya Posta... ngoja nijaribu nioneMizigo yao siku hizi inaletwa hadi mlangoni na watu wa Kikuu. Taabu kubwa ilikuwa ni pale mizigo ilipokuwa ikipitia posta.
Acha utaniukijaribu utapigwa kilio
Ndio kwakeKaka kwani hilo ni jambo jipya?
Dada habari za siku nyingiNgoja kwanza, hicho kioo umehakiki ni chenyewe au famba?
Kabisaalexpress hawanaga mbambamba
Hongera.Wakuu habari.
Baada ya kusoma ule uzi ambao jamaa alielezea jinsi ya kuagiza smart watch kutoka AliExpress na mimi nikasema wacha nijaribu.
Kuna simu yangu ilivunjika kioo nilipouliza dukani nikaambiwa kinauzwa laki na nusu.
Nikasearch AliExpress nikakuta kinauzwa 58,000.
Niliweka oda na nikatakiwa kulipia, kwenye malipo nilitengeneza TigoPesa master card ya miezi mitatu, ndipo nikarudi aliexpress kufanya malipo.
Nilichokifanya nilichaguwa supplier mwenye shipping fee ya chini kabisa ambapo nilipata wa gharama ya TZS 3000. Kwenye malipo tigo walinikata 6000 (sijui walikata kwa kutumia rate gani)
Mwisho wa siku kioo cha laki na nusu dukani kimefika mkononi mwangu kwa 67,000 ndani ya wiki mbili.
My take:
Ukinunua kitu AliExpress usichoke kusearch suppliers tofauti.
View attachment 2767655, kwenye kitu unachokitaka kuna suppliers wana "free shipping"
Wanatumia ofisi za kikuuAliexpress wana ofisi Zanzibar?
Hongera sana mkuu, nilijaribu kiagiza sikuwa nafuatilia sana kumbe CORONA ndiyo ilikuwa inaanza kule. Mzigo ulikaa mpaka nilikata tamaa, ila hatimaye ulifika kwa njia ya posta. Posta kwa saizi wapo vizuri wanakutumia meseji Kama mzigo ukifika.Wakuu habari.
Baada ya kusoma ule uzi ambao jamaa alielezea jinsi ya kuagiza smart watch kutoka AliExpress na mimi nikasema wacha nijaribu.
Kuna simu yangu ilivunjika kioo nilipouliza dukani nikaambiwa kinauzwa laki na nusu.
Nikasearch AliExpress nikakuta kinauzwa 58,000.
Niliweka oda na nikatakiwa kulipia, kwenye malipo nilitengeneza TigoPesa master card ya miezi mitatu, ndipo nikarudi aliexpress kufanya malipo.
Nilichokifanya nilichaguwa supplier mwenye shipping fee ya chini kabisa ambapo nilipata wa gharama ya TZS 3000. Kwenye malipo tigo walinikata 6000 (sijui walikata kwa kutumia rate gani)
Mwisho wa siku kioo cha laki na nusu dukani kimefika mkononi mwangu kwa 67,000 ndani ya wiki mbili.
My take:
Ukinunua kitu AliExpress usichoke kusearch suppliers tofauti.
View attachment 2767655, kwenye kitu unachokitaka kuna suppliers wana "free shipping"
Bora ulivyoshea, it means a lot to me na wengineo ambao tupo interested na kuagiza mitandaoni, tulisoma ule Uzi wa kikuu na tukawa na mashaka na hawa wa online, siku nikijaribu nami nitaleta mrejeshoWakuu habari.
Baada ya kusoma ule uzi ambao jamaa alielezea jinsi ya kuagiza smart watch kutoka AliExpress na mimi nikasema wacha nijaribu.
Kuna simu yangu ilivunjika kioo nilipouliza dukani nikaambiwa kinauzwa laki na nusu.
Nikasearch AliExpress nikakuta kinauzwa 58,000.
Niliweka oda na nikatakiwa kulipia, kwenye malipo nilitengeneza TigoPesa master card ya miezi mitatu, ndipo nikarudi aliexpress kufanya malipo.
Nilichokifanya nilichaguwa supplier mwenye shipping fee ya chini kabisa ambapo nilipata wa gharama ya TZS 3000. Kwenye malipo tigo walinikata 6000 (sijui walikata kwa kutumia rate gani)
Mwisho wa siku kioo cha laki na nusu dukani kimefika mkononi mwangu kwa 67,000 ndani ya wiki mbili.
My take:
Ukinunua kitu AliExpress usichoke kusearch suppliers tofauti.
View attachment 2767655, kwenye kitu unachokitaka kuna suppliers wana "free shipping"
Rahisi sana,Tufundishe jinsi ya kujiunga na hiyo tigo mastercard mkuu !
Maelezo yepi unayoyataka??Hakuna agent, nyoosha maelezo