Nimepokea taarifa za kuhuzunisha kuhusu bondia Floyd Mayweather

Wewe shabiki namba moja haujui kua jamaa alishapigana mpaka mieleka? Halafu alipigana na Big Show na akashinda, game nzima ilikua rigged.

Same shit can happen huko kwenye ufc.
Mieleka ni entertainment mengi yanayotokea uwanjani huwa yamepangwa nje ya uwanja.... reality ni kiasi kidogo sana (no wonder wanakwambia don't try this @ home) fatilia sources mbalimbali utanielewa vizuri nnachokwambia.
 
nimecheka, unafikiri hela tamu
 
Wewe shabiki namba moja haujui kua jamaa alishapigana mpaka mieleka? Halafu alipigana na Big Show na akashinda, game nzima ilikua rigged.

Same shit can happen huko kwenye ufc.
Alipigwa ngumi moja na big show akazima hapo hapo nakumbuka sana ile [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu hii comment umeandika ukiwa na akili timamu kweli?

Hivi hujui kama lile pambano lilikuwa kama maigizo tu?

Muda mwengine utumie akili za kiutu uzima kidogo kwenye kuchangia mijadala.
Big slow kama anavyoitwa siku hizi alivunjwa pua siku hiyo...
 
Usinidhalilishe kwamba haujui kiingereza au? Sasa rigged si ndiyo maana yake ile kitu ilikua maigizo?

Na ndo nasema inawezekana hata kwenye ufc ikawa hivyo hivyo.
Mkuu ukisema ilikuwa rigged unamaanisha the thing was supposed to be fair and legit. No result fixing wala haikupaswa kwa namna yeyote ile kupangwa upande fulani ushinde kwa kupanga matokeo kabla ya shindano au wakati wa shindano. Bali ashinde kwa uwezo wake mkubwa wa mbinu, guvu, akili, ujuzi na uzoefu.
 
Kwenye boxing/ combat sports tukisema pambano lilikua rigged tunamaanisha kuna opponent alikubali ku-dive.

Big Show alipigwa na Mayweather kwenye mieleka, sawa sawa na Sonny Liston kwa Ali.

Unadhani Big Show hakukubali ku-dive?

Kama kuna opponent kadive kwanini tusiseme kua pambano lilikua ni igizo?
 
Usinidhalilishe kwamba haujui kiingereza au? Sasa rigged si ndiyo maana yake ile kitu ilikua maigizo?

Na ndo nasema inawezekana hata kwenye ufc ikawa hivyo hivyo.
Duh! Kwa hiyo rigging ni maigizo? Unapotokea uchaguzi kisha ukasikia 'election was rigged' ina maana walifanya maigizo? Jipange tena
 
Duh! Kwa hiyo rigging ni maigizo? Unapotokea uchaguzi kisha ukasikia 'election was rigged' ina maana walifanya maigizo? Jipange tena
Baki kwenye mambo yako ya uchaguzi
 
Kwa watu tunaofuatilia ngumi kila siku na kuupenda sana mchezo huu, (ikiwemo kutanua sana misuli like i do, kuwa na big muscular body, kupiga magunia ya mchanga etc..) katika media mbali mbali, hasa You Tube kucheki records za boxing.. I tell you the truth.. MayWeather anapiga ngumi jamani.. Anapigaaaa.. Hii yote inanifanya mm kuwa fun wake #1 pia..!! Very dangerous boxer, anajua kukwepa sana, anajua kupiga very fast and on target alafu ngumi jiwe.. He is super super star..!!
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…