ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Hapa bongo hata ukichomoa buku ya MaguKaka hizo one billion dollar unajua zilitetemesha Bongo nzima hapa majuzi kati!! Muache tu akapambane
lazima uchezee keko pagumu hapa tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa bongo hata ukichomoa buku ya MaguKaka hizo one billion dollar unajua zilitetemesha Bongo nzima hapa majuzi kati!! Muache tu akapambane
Mieleka ni entertainment mengi yanayotokea uwanjani huwa yamepangwa nje ya uwanja.... reality ni kiasi kidogo sana (no wonder wanakwambia don't try this @ home) fatilia sources mbalimbali utanielewa vizuri nnachokwambia.Wewe shabiki namba moja haujui kua jamaa alishapigana mpaka mieleka? Halafu alipigana na Big Show na akashinda, game nzima ilikua rigged.
Same shit can happen huko kwenye ufc.
Yap yap long time kidogo litafute you tube utalipata.Yani mayweather alimpiga big show WWE aseh itakuwa nimesahau hilo pambano!!..
Bondia asiyepigika Floyd Money Mayweather hatimaye amekubali kufanya rematch na Conor McGregor ila safari hii haitakuwa boxing tena bali UFC kwa dau la 1 billion USD
Na hatoishia kwa Conor tu bali atapambana na mabondia wengine watatu wa UFC kwa dau lisilopungua pia 1 billion usd
Kiukweli natamani haya mapambano Floyd ayavunje tu hao jamaa wa UFC wanamtamani kweli kwa kuwa wamemshindwa kwenye boxing sasa wamemualika kwao kwa kumdanganya na dau nono na mwishoe Floyd amewakubalia.
Hizi tamaa za Floyd zimenikwaza sana mimi kama shabiki wake nambari moja ulimwenguni
Falsafa zake Floyd ipo siku zitamtokea puani , yeye husema kuwa haangalii sana kupoteza pambano yeye huangalia pesa atakazo ingiza baada ya pambano.
Lakini siku zote bwana pesa huisha ila heshima uliyojiwekea na kuitunza kamwe haiwezi kuisha au kushuka.
Sasa kwa mwendo huu naona kabisa ile record yake ya undefeated inaenda kupotea.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Dah! Maisha hayakofea kabisa, wakati mwenzetu mkono wake unaingia trilion, kuna mwingine mkono wake anapiga brush viatu..
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Maisha hayako fair kabisa.. we fikiria mguu wa pogba mihela uliolipiwa wakati bongo kuna mtu mguu wake anaupigia kiki za boda boda tuu.
Alipigwa ngumi moja na big show akazima hapo hapo nakumbuka sana ile [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe shabiki namba moja haujui kua jamaa alishapigana mpaka mieleka? Halafu alipigana na Big Show na akashinda, game nzima ilikua rigged.
Same shit can happen huko kwenye ufc.
Bora aisee.NAONA FLOYD KAKATAA KUSHIRIKI
View attachment 655930
Floyd Mayweather Denies Being in Talks with UFC, Doesn't Know What Future Holds
Big slow kama anavyoitwa siku hizi alivunjwa pua siku hiyo...Mkuu hii comment umeandika ukiwa na akili timamu kweli?
Hivi hujui kama lile pambano lilikuwa kama maigizo tu?
Muda mwengine utumie akili za kiutu uzima kidogo kwenye kuchangia mijadala.
Mkuu ukisema ilikuwa rigged unamaanisha the thing was supposed to be fair and legit. No result fixing wala haikupaswa kwa namna yeyote ile kupangwa upande fulani ushinde kwa kupanga matokeo kabla ya shindano au wakati wa shindano. Bali ashinde kwa uwezo wake mkubwa wa mbinu, guvu, akili, ujuzi na uzoefu.Usinidhalilishe kwamba haujui kiingereza au? Sasa rigged si ndiyo maana yake ile kitu ilikua maigizo?
Na ndo nasema inawezekana hata kwenye ufc ikawa hivyo hivyo.
Weka ugoko niweke chuma weka kigingi niweke chuma hahahhaa...jibu safi sana hili..Na wewe misiba uliyohuzunika wale wote walikuwa ni kaka zako?
Kwenye boxing/ combat sports tukisema pambano lilikua rigged tunamaanisha kuna opponent alikubali ku-dive.Mkuu ukisema ilikuwa rigged unamaanisha the thing was supposed to be fair and legit. No result fixing wala haikupaswa kwa namna yeyote ile kupangwa upande fulani ushinde kwa kupanga matokeo kabla ya shindano au wakati wa shindano. Bali ashinde kwa uwezo wake mkubwa wa mbinu, guvu, akili, ujuzi na uzoefu.
Big slow kama anavyoitwa siku hizi alivunjwa pua siku hiyo...
Duh! Kwa hiyo rigging ni maigizo? Unapotokea uchaguzi kisha ukasikia 'election was rigged' ina maana walifanya maigizo? Jipange tenaUsinidhalilishe kwamba haujui kiingereza au? Sasa rigged si ndiyo maana yake ile kitu ilikua maigizo?
Na ndo nasema inawezekana hata kwenye ufc ikawa hivyo hivyo.
Baki kwenye mambo yako ya uchaguziDuh! Kwa hiyo rigging ni maigizo? Unapotokea uchaguzi kisha ukasikia 'election was rigged' ina maana walifanya maigizo? Jipange tena
Kwenye boxing/ combat sports tukisema pambano lilikua rigged tunamaanisha kuna opponent alikubali ku-dive.
Big Show alipigwa na Mayweather kwenye mieleka, sawa sawa na Sonny Liston kwa Ali.
Unadhani Big Show hakukubali ku-dive?
Kama kuna opponent kadive kwanini tusiseme kua pambano lilikua ni igizo?