Nimepokea taarifa za kuhuzunisha kuhusu bondia Floyd Mayweather

Ayala

Apodaca

Sanders

Cooper

Kwa uchache wao.

Katika orodha ni Castillo, Pacq na De La hoya ndiyo walisogelea kumdondosha. Zingine zilikua nyanya
Miguel Cotto,Ricky Hotton,Juan Manuel Marquez ,Marcos Rene Maidana ,Judda, Canelo Alvarez etc ni nyanya hizo eeh
 
Unakumbuka pambano opponent kaweka mikono wagongeshe gloves yeye akakimbilia uso wa mwenzie?
Kumbe hata kuwajua huwajui.

Ni Victor Ortiz.

Jamaa yeye alikuwa anamchezea rafu za mara kwa Mara Floyd ikiwemo kumruki vichwa.

Sasa refaree akaamulia baadaye akaruhusu pambano liendelee sasa pambano linendelea wewe unataka tugongesheane gloves za kazi gani?

Mashabiki wamelipa pesa ili kuona mnavyogongesheana gloves au wamelipa pesa ili kuona mnavyopigana?

Embu Siku nyingine usije na hoja za kitoto kama hizi.
 
Ayala

Apodaca

Sanders

Cooper

Kwa uchache wao.

Katika orodha ni Castillo, Pacq na De La hoya ndiyo walisogelea kumdondosha. Zingine zilikua nyanya
Dela Hoya na Man pacquiao walimbonda sema boxing nayo ina siasa zake.
 
Boxing ili upate pointi hatuhesabu idadi ya ngumi unazorusha Bali ni ngumi ngapi umerusha ili upate pointi mayweather anarusha ngumi chache lakini anapiga sehemu zenye pointi na mabondia wengi wanaopigana na mayweather wanazani walishinda sababu ya ngumi nyingi walizorusha lakini mayweather analinda sana usimpige sehemu zenye point wakati yeye anakupiga chache zenye pointi ndo mana wengi hawaamini kama mayweather anashinda sababu hiyo hua habebwi lakini ukiijua boxing sana utaelewa vizuri hilo ninaloongea
 
Kumbe hata kuwajua huwajui.

Ni Victor Ortiz.

Jamaa yeye alikuwa anamchezea rafu za mara kwa Mara Floyd ikiwemo kumruki vichwa.

Sasa refaree akaamulia baadaye akaruhusu pambano liendelee sasa pambano linendelea wewe unataka tugongesheane gloves za kazi gani?

Mashabiki wamelipa pesa ili kuona mnavyogongesheana gloves au wamelipa pesa ili kuona mnavyopigana?

Embu Siku nyingine usije na hoja za kitoto kama hizi.
Mzee baba ile ilikua unijibu ili niendelee lakini naona umehukumu mpaka mwisho.
 
Ulitaka journeyman nshakutajia
Embu kaangalie rekodi zao hao jamaa wanaowaita nyanya kisha rudi hapa ulete mrejesho.

Mfano huyo Canelo Alvarez amepigana mapambano 51 kapigwa moja na Floyd katoa sare mbili kashinda 49 utamuitaje huyu mtu nyanya?

Huyo Ricky Hotton mpaka anapanda na Floyd alikuwa na rekodi ya undefeated lakini alitandikwa K.O moja Kali sana na alinyanyasika sana ulingoni kana kwamba hakuwahi kucheza ngumi.
 
Sijakutajia Alvarez.

Huyo Apodaca pambano moja na Floyd akaruka matatu mengine akaacha ngumi.

Mwingine hadi amekua professional journeyman. Promota akitaka bondia wa fasta kuziba pengo anakua contacted.
 
Everything is staged for Mayweather to win, dont waste your time feeling sorry for him. He's going to win them all, and the "defeated" are going to make a fortune they only dreamed before.
 
We jamaa unaonekana mweupe sana kwenye boxing halafu hujielewi.

Rigondeux kapigwa kizeembe sana kwa RTD juzi na Lomachenko akasingizia mkono unamuuna ndio wakumshindanisha na Floyd?

Huyo GGG kamshindwa hata Canelo Alvarez atamuweza Floyd?

Canelo alitandikwa kama mtoto na Floyd lakini GGG kasanda.

GGG ngumi hajui wala hana defence nzuri kinachomsaidia ni ukakamavu na uzito wa ngumi tu na ngumi zenyewe hajui kurusha hasa kwa mtu kama Floyd asingeambulia chochote.
Hivi huwezi kuchangia bila kukejeli na kutukana? Naona mijadala yako mingi imejaa "Umachinoo" mwingi, as if unajua kila kitu wewe.... Mtu anakosoa kistaarabu wewe unamwambia hajielewi! Basi ukianzisha thread comment wewe na ujijibu wewe!! Unanikwaza kweli kweli, sijui wengine wanaonaje huko ila to me!! Hapana... Unaonekana sharobaro saana (Vijana wapenda makuu,na kujiona wao ndo kila kitu)
 
Sijakutajia Alvarez.

Huyo Apodaca pambano moja na Floyd akaruka matatu mengine akaacha ngumi.

Mwingine hadi amekua professional journeyman. Promota akitaka bondia wa fasta kuziba pengo anakua contacted.
Umesema Floyd kwenye carrier yake amepigana na mabondia watatu tu hao wengine wote nyanya sasa nikakutajia baadhi hapo useme kama nyanya au laah.

Halafu kingine mabondia wengi wakipigana na Floyd wanaonekana nyanya kwa sababu wamekutana na mtu anayezijua ngumi vilivyo mfano mzuri huyo Canelo au Hotton ni mabondia wazuri sana ila walipopigana na Floyd wameonekana nyanya tu.

Na hii ingejitokeza hata kwa GGG kama angepigana na Floyd.
 
Unaota.

Mi nakuacha bwana
 
Hivi huwezi kuchangia bila kukejeli na kutukana? Naona mijadala yako mingi imejaa "Umachinoo" mwingi, as if unajua kila kitu wewe.... Mtu anakosoa kistaarabu wewe unamwambia hajielewi! Basi ukianzisha thread comment wewe na ujijibu wewe!! Unanikwaza kweli kweli, sijui wengine wanaonaje huko ila to me!! Hapana... Unaonekana sharobaro saana (Vijana wapenda makuu,na kujiona wao ndo kila kitu)
Acha tu twende naye hivi hivi maana hatulipwi humu.
 
Back
Top Bottom