JASUSI LA MBINGUNI
Member
- Aug 21, 2021
- 33
- 80
Unataka mpaka tukuulize umetumia njia gani kupona??Hakuna gonjwa baya kama bawasiri. Ni ugonjwa unaokera sana.
Yale manyama yanavyochungulia kwenye shimo la ikweta yanaleta ukakasi mkubwa sana licha ya madhara mengine mengi.
Ukichuchumaa linyama linafumuka. Ukienda kukata gogo linyama linafumuka. Unakuwa kama mama aliyejifungua. Shimo la ikweta linatisha sana.
Mungu awaoneshe uso wake wale wote wenye haya manyama kwenye lile shimo baya. Mkaponywe kabla mwaka haujaisha.
Nilihangaika sana, hatimaye nimepona yale manyama yote.
Haleluya! Ni janga zito.
Life styleKwani nini hii changamoto imekuwa kubwa na kwakumba watu wengi kwa sasa?
Biashara matangazo sioHakuna gonjwa baya kama bawasiri. Ni ugonjwa unaokera sana.
Yale manyama yanavyochungulia kwenye shimo la ikweta yanaleta ukakasi mkubwa sana licha ya madhara mengine mengi.
Ukichuchumaa linyama linafumuka. Ukienda kukata gogo linyama linafumuka. Unakuwa kama mama aliyejifungua. Shimo la ikweta linatisha sana.
Mungu awaoneshe uso wake wale wote wenye haya manyama kwenye lile shimo baya. Mkaponywe kabla mwaka haujaisha.
Nilihangaika sana, hatimaye nimepona yale manyama yote.
Haleluya! Ni janga zito
Thubutu! Jaribu uone kama utaponadawa yake ni maji ya moto unayakalia kwa dakika kadhaa kinatoka chote
MtajijuUnataka mpaka tukuulize umetumia njia gani kupona??
Haya hatukuulizi.
Bullshit☹️
Sitangazi kituBiashara matangazo sio
Pakaa pilipiliSawa mkongwe. Ili kujua dawa iliyokuponya tuje PM, sio!?
sasa unabisha nini? Me kilinitokeaga sikumbuki lini nikakalia maji ya moto kikatoka choteThubutu! Jaribu uone kama utapona
Ya namna gani?Life style
Zaidi zaidi ni ulaji mmbovu,pia kukaa sana hii inawahisu madereva na watu wenye kazi zakukaa sana pasipo mazoezi...Ya namna gani?