JASUSI LA MBINGUNI
Member
- Aug 21, 2021
- 33
- 80
Hakuna gonjwa baya kama bawasiri. Ni ugonjwa unaokera sana.
Yale manyama yanavyochungulia kwenye shimo la ikweta yanaleta ukakasi mkubwa sana licha ya madhara mengine mengi.
Ukichuchumaa linyama linafumuka. Ukienda kukata gogo linyama linafumuka. Unakuwa kama mama aliyejifungua. Shimo la ikweta linatisha sana.
Mungu awaoneshe uso wake wale wote wenye haya manyama kwenye lile shimo baya. Mkaponywe kabla mwaka haujaisha.
Nilihangaika sana, hatimaye nimepona yale manyama yote.
Haleluya! Ni janga zito.