Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tapeli wwThubutu! Jaribu uone kama utapona
Nimemtapeli nani mbwa weweTapeli ww
Dawa ni maji ya moto unachanganya na chumvi unajikanda kwenye kinyeo asbh na ukitaka kulala mpaka upone ,ukifanya hivi week nyingi unaponaUkiacha dawa za Hospital, dawa kubwa ya asili ni kuyakalia maji ya uvuguvugu yaliyo kwenye beseni yaliyochanganywa na chumvi nyingi kila siku kabla ya kulala kwa siku tano mfululizo. Unapona kabisa.
Nashauri kama hujaanza kuumwa huu ugonjwa hakikisha unakula matunda kwa wingi na kunya maji ya kutosha haswa mapapai kwa ajili ya kukainisha choo haswa kwa wale tunaokaa kwenye kiti muda mrefuSawa mkongwe. Ili kujua dawa iliyokuponya tuje PM, sio!?
Ulaji wa vyakula visivyokuwa na roughage nyingi vinakwenda kutengeneza kinyesi kigumu na unapokitoa kwa nguvu hiyo shida ndio inaanza. Lakini kwa wafanya mazoezi ya kukata tumbo bila kutumia mikanda ya tumboni shida hii huwa inatokea. And most of the patients are obese. So sijui kitaalam zaidi lkn nadhani lifestyle inachangia sana mkuuKwani nini hii changamoto imekuwa kubwa na kwakumba watu wengi kwa sasa?
Uliponaje maana mimi natibu ugonjwa huu na dawa yangu ni best sanaaa ya kupqka tu haijawai kufelHakuna gonjwa baya kama bawasiri. Ni ugonjwa unaokera sana.
Yale manyama yanavyochungulia kwenye shimo la ikweta yanaleta ukakasi mkubwa sana licha ya madhara mengine mengi.
Ukichuchumaa linyama linafumuka. Ukienda kukata gogo linyama linafumuka. Unakuwa kama mama aliyejifungua. Shimo la ikweta linatisha sana.
Mungu awaoneshe uso wake wale wote wenye haya manyama kwenye lile shimo baya. Mkaponywe kabla mwaka haujaisha.
Nilihangaika sana, hatimaye nimepona yale manyama yote.
Haleluya! Ni janga zito.
Mfumo wamaisha tu vyakula na mazoez sasa yamekua ni kama adhabu watu wanakimbiaKwani nini hii changamoto imekuwa kubwa na kwakumba watu wengi kwa sasa?
Dawa gani hiyo ndugu share inaweza kuwa msaada kwa wengi.Uliponaje maana mimi natibu ugonjwa huu na dawa yangu ni best sanaaa ya kupqka tu haijawai kufel
Sent from my SM-M135FU using JamiiForums mobile app