Secret person
JF-Expert Member
- Sep 23, 2019
- 242
- 363
Habari wakuu
Kiuhalisia namshukuru Mungu sana kwa kunitoa kwenya kifungo cha kupiga punyeto kilichodumu miaka (2011 - 2021)
Kiuhalisia safari ilikuwa nzuri hapo mwanzo na niliona ni hali ya kawaida tu mpaka pale nilipoanza kushindwa kumudu kitandani nikikutana na wanawake na hii imeshanitokea kwa wanawake zaidi ya watatu hadi nikapoteza tumaini la kurudi katika hali ya kawaida ya uanaume maana nilikuwa siwezi kusimamisha kabisa.
Mwaka 2021 akili yangu ilinituma nianze kutumia Viagra kama booster na nikijua siku moja nitaacha tu. Kiukweli niliweza kumudu tendo na zaidi ya wanawake 5 kwa vipindi tofauti japo suala la kuja kuwa addiction baadaye nilikuwa nalijua.
Jambo la kushukuru ni kwasasa nimeacha Punyeto, Viagra nimeacha maana ilikuwa kwa ajili ya study yangu binafsi ya kujiponya shida ya uume kusimama.
Hivyo kwasasa nimeweza kusimamisha uume binafsi nje na msaada wa booster yoyote ile na furaha imerudi sana. Kilichobaki ni kupambana kuponya hali ya premature ejaculation iliyobaki.
Naomba msaada Wakuu kwa hili.