Nimepona tatizo la nguvu za kiume kwa kutumia Viagra

Nimepona tatizo la nguvu za kiume kwa kutumia Viagra

Kwan ipi ambayo ni common na haina madhara au addiction mbovu!?
Drugs zote zina kitu kinaitwa side effects na contraindications..so Kama utamua kutumia tumia Kwa lengo la kuboost amua kutumia Kwa muda mfupi Tu wala usiwe mrefu maana itakuwa addicted
 
Ulitumia mda gani ndio ukaacha mkuu au mara ngapi
Nilianza kutumia lastly year mwezi wa 6 na nilikuwa natumia Kwa vipindi Tofauti tofauti sikuwa nafululiza maana mm nilikuwa na kutana na mwanamke Kwa plan sio emergency nimeacha rasmi mwaka huu mwezi wa Kwanza mara 10 inafika haizidi hapo
 
Nilianza kutumia lastly year mwezi wa 6 na nilikuwa natumia Kwa vipindi Tofauti tofauti sikuwa nafululiza maana mm nilikuwa na kutana na mwanamke Kwa plan sio emergency nimeacha rasmi mwaka huu mwezi wa Kwanza mara 10 inafika haizidi hapo
Sawa mkuu kwa iyo toka mwezi wa kwanza ulipoacha mambo yakawa safi? Na vipi ulipima pressure na mambo mengine kwanza maana nasikia lazima upate ushauri wa wataalamu kabla ya kutumia??
 
Iko Hivi Kwanza sikuwa na confidence kabisa na wala nilikuwa sijiamini katika Hilo nikisikia demu anakuja Gheto lazima niandae Viagra zangu na nilikuwa nazo Kwa begi uzuri Mimi ni mtu wa Afya so ni rahisi kuzipata...


Lastly week Kuna dogo kazuka Gheto kama suprise katika mkoa mmoja kuja Kwangu na muda huo nilishadhamilia kuacha haya mavitu.

Day One nimelala nae Kwa Bed Nina Hofu balaa maana najua shughuli hakuna,kweli nimeanza maromance Kwa Sana Mzee kasimama kama Dakika 5 Hamna kitu Hadi tunalala hamna shughuli uzuri dogo alikuwa period nikapotezea.

Kesho Yake Tumeanza michezo ya Romance uume Huo aisee sikuamini Ila Nikaendelea kujiamini(Mungu anisamehe) dogo alikuwa Kwa Period Ila kiuhalisia nilipiga hivyo hivyo.

Kwa sasa mnara unasoma muda wote ni mwendo wa Kugegeda Tu..bila booster Yoyote Ile kama nimeoa vile Aisee namshukuru Sana Mungu furaha imerudi confidence imerudi tena yaani wale mademu watano nilishindwa kusimamisha uume natamani turudie mechi
hongera sana mkuu.

kiukweli ulikuwa na wakati mgumu sana. Sasa bila shaka unatembeza kichapo cha P vilivyo.

Huu ndo muda muagaka wa kuvuta jiko ujilie kwa raha zote yako mwenyewe tena ya halali.
 
Back
Top Bottom