mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Pia wanaume wengi wa jf ni matajiri na wana magari,,Jf humu wanaume wote huwa tunatongozwa na wanawake
[emoji3][emoji3]
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia wanaume wengi wa jf ni matajiri na wana magari,,Jf humu wanaume wote huwa tunatongozwa na wanawake
Nilikuwa hata kusimamisha siwezi mkuu zaidi ya wanawake watano imenitokea hii Hali Kwa vipindi Tofauti so issue ya premature it's not deal hapa ni mazoezi,chakula,kutuliza akili kila kitu kunakuwa Sawamkuu umepona vipi wakati unasema kuwa bado una tatizo la premature ejaculation
Yaani Aisee..Kaka Hapa Mambo ni Moto najiona kama nimerudi uanaume jamani kama una shida yoyote ya nguvu za kiume usisite kuwashirikisha wadau wakusaidiehongera sana mkuu.
kiukweli ulikuwa na wakati mgumu sana. Sasa bila shaka unatembeza kichapo cha P vilivyo.
Huu ndo muda muagaka wa kuvuta jiko ujilie kwa raha zote yako mwenyewe tena ya halali.
Yah Mimi ni mtu wa Afya ...nilipima kabla maana Dawa hizi zina tendency ya kulower blood pressure so Kwa mtu mwenye hypotension (pressure ya kushika) ni rahisi kwenda na maji I mean kufa maana ikikutana na mtu mwenye pressure ya kushuka na akitumia inakuwa changamotoSawa mkuu kwa iyo toka mwezi wa kwanza ulipoacha mambo yakawa safi? Na vipi ulipima pressure na mambo mengine kwanza maana nasikia lazima upate ushauri wa wataalamu kabla ya kutumia??
Nilikuwa hata kusimamisha siwezi mkuu zaidi ya wanawake watano imenitokea hii Hali Kwa vipindi Tofauti so issue ya premature it's not deal hapa ni mazoezi,chakula,kutuliza akili kila kitu kunakuwa Sawa
Issue ya premature ni ndogo hapo inabidi uunganishe bao.Habari wakuu
Kiuhalisia namshukuru Mungu sana kwa kunitoa kwenya kifungo cha kupiga punyeto kilichodumu miaka (2011 - 2021)
Kiuhalisia safari ilikuwa nzuri hapo mwanzo na niliona ni hali ya kawaida tu mpaka pale nilipoanza kushindwa kumudu kitandani nikikutana na wanawake na hii imeshanitokea kwa wanawake zaidi ya watatu hadi nikapoteza tumaini la kurudi katika hali ya kawaida ya uanaume maana nilikuwa siwezi kusimamisha kabisa.
Mwaka 2021 akili yangu ilinituma nianze kutumia Viagra kama booster na nikijua siku moja nitaacha tu. Kiukweli niliweza kumudu tendo na zaidi ya wanawake 5 kwa vipindi tofauti japo suala la kuja kuwa addiction baadaye nilikuwa nalijua.
Jambo la kushukuru ni kwasasa nimeacha Punyeto, Viagra nimeacha maana ilikuwa kwa ajili ya study yangu binafsi ya kujiponya shida ya uume kusimama.
Hivyo kwasasa nimeweza kusimamisha uume binafsi nje na msaada wa booster yoyote ile na furaha imerudi sana. Kilichobaki ni kupambana kuponya hali ya premature ejaculation iliyobaki.
Naomba msaada Wakuu kwa hili.
Kazi ni kubwa na baad ya Early first ejaculation unakua na Moto wa mchezo au unakata kabsa na uwez wa goli la pili unachukua dk ngap Tena!?Mm ndo nipo kutatua tatizo juu ya hili aisee
Ina maana Kuna chance ya kudum kweny process only 20 minutes!?Issue ya premature ni ndogo hapo inabidi uunganishe bao.
Ile la kwanza unaunga na la pili, bao la pili i guarantee uta last hata dk 10.
Ukishapiga bao, we endelea tu dushe utaona inapandisha 4G LTE yenyewe toka kwenye GPRS.
Kuna mazoezi unafanya yanasaidia, fanya research utagundua.
Thanks.
Kwenye kuishughulikia mbususuIna maana Kuna chance ya kudum kweny process only 20 minutes!?
Shukran kwa madini, na kwa mfano mtu aliyeathiriwa na punyeto aka ejaculate chap 1,2 kw pamoja ndan ya dk Mbili tu ,na hapo mwanamk bado hajakojoa ,mtu Kam huyo unamsaidiaje au ushauri ili apate nguv kufik angalau goli la 3 bila kupanic!?Kwenye kuishughulikia mbususu
, dk 10 ni nyingi mno.
Usiseme only 20 mins, mwanamke anachukua dk 10 hadi 15 kufika kwenye climax , hapo inategemea, kuna issue zingine kama amekuelewa na ana hamu na wewe hata dk 6 tu.
Dk 30 mtaanza kuchubuana, lazima awe mkavu.
Dk 10 zinatosha sana ukiongezea na utundu mwingine.
Halafu wenzetu huwa wana fika zaidi ya mara moja, kwenye dk 20 unakuta amefika hata mara 3.
Anakojoa unaendeleza dozi, anakojoa unaendeleza..
Suala la nguvu za kiume ni pana sana.Shukran kwa madini, na kwa mfano mtu aliyeathiriwa na punyeto aka ejaculate chap 1,2 kw pamoja ndan ya dk Mbili tu ,na hapo mwanamk bado hajakojoa ,mtu Kam huyo unamsaidiaje au ushauri ili apate nguv kufik angalau goli la 3 bila kupanic!?
😂😂😂Nmekubali et mf umekutana na pisi Kali saaana ..... Umetisha mtaalam ya hizo group madalali wengi kila mtu anakurushia dawa tu ,nilichomatter kwak muhim ni kujiamin na vizur ukutane na mtot bikra itaondoa hofu na pressure Ila hawa mafundi wa mchezo lazma ujilaumu,naskia wengin hata kabla ya kuingiz wanamwaga nje kuavoid hii tunafanyaje??Suala la nguvu za kiume ni pana sana.
Unaweza kuhisi una tatizo kumbe tatizo lipo kwenye kutokujiamini au una matatizo psychologically.
Mfano kukojoa mapema inaweza tokana na mchezo mzima, mfano umekutana na pisi kali saaana, halafu ulikuwa unamuelewa muda, hapo mzee hata uwe na uwezo huchukui dk 3.
Huwezi sema hilo ni tatizo.
Ushauri: Jiridhishe kama kweli una hilo tatizo au la, unaweza fanya research online na kusoma vitabu mbali mbali.
Pia kuna vyakula n.k, humu jf kuna nyuzi nyingi wataalamu wanazungumzia hilo.
Kikubwa ninachoamini wanaweza kutibika.😂😂😂Nmekubali et mf umekutana na pisi Kali saaana ..... Umetisha mtaalam ya hizo group madalali wengi kila mtu anakurushia dawa tu ,nilichomatter kwak muhim ni kujiamin na vizur ukutane na mtot bikra itaondoa hofu na pressure Ila hawa mafundi wa mchezo lazma ujilaumu,naskia wengin hata kabla ya kuingiz wanamwaga nje kuavoid hii tunafanyaje??
Usiache kurudi uje uokoe jahaziKikubwa ninachoamini wanaweza kutibika.
Hili tatizo kuna baadhi ya watu wanatumia kama fursa, wana mis lead watu, uko vizuri lakini wanakuambia una shida.
Ngoja nikifanya research nitakurudia mkuu.
Ni Kweli inaponya kabisa aisee. Ni ukweli usiopingikaHabari wakuu
Kiuhalisia namshukuru Mungu sana kwa kunitoa kwenya kifungo cha kupiga punyeto kilichodumu miaka (2011 - 2021)
Kiuhalisia safari ilikuwa nzuri hapo mwanzo na niliona ni hali ya kawaida tu mpaka pale nilipoanza kushindwa kumudu kitandani nikikutana na wanawake na hii imeshanitokea kwa wanawake zaidi ya watatu hadi nikapoteza tumaini la kurudi katika hali ya kawaida ya uanaume maana nilikuwa siwezi kusimamisha kabisa.
Mwaka 2021 akili yangu ilinituma nianze kutumia Viagra kama booster na nikijua siku moja nitaacha tu. Kiukweli niliweza kumudu tendo na zaidi ya wanawake 5 kwa vipindi tofauti japo suala la kuja kuwa addiction baadaye nilikuwa nalijua.
Jambo la kushukuru ni kwasasa nimeacha Punyeto, Viagra nimeacha maana ilikuwa kwa ajili ya study yangu binafsi ya kujiponya shida ya uume kusimama.
Hivyo kwasasa nimeweza kusimamisha uume binafsi nje na msaada wa booster yoyote ile na furaha imerudi sana. Kilichobaki ni kupambana kuponya hali ya premature ejaculation iliyobaki.
Naomba msaada Wakuu kwa hili.
Wewe ushajaribu??Ni Kweli inaponya kabisa aisee. Ni ukweli usiopingika