Tipstipstor
JF-Expert Member
- Nov 29, 2021
- 1,528
- 3,352
Romance (activities zote za uandaaji before penetration) , ni kama unavyo marinate nyama kabla ya kuipika au kuichoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kegel exercise inasaidia kwenye kumaintain erections??Pia kama una tatizo la kumantain erection tumia sana juice ya matikiti mix na ndimu au kunywa juice ya tende iliyomixiwa na maziwa
[emoji23][emoji23]Hilo ni Jambo la muhimu na msingi Sana Mkuu.Hakuna kitu mwanaume hapendi kama kusikia mwanaume mwenzie ana shida ya nguvu za kiume, atakupa hata msaada wa kifedha.
Ndugu zangu tuendelezi huu upendo hata kwenye kupeana deals za pesa.
[emoji23].
Haujataka hata kusolve na Mpenzi wako au mke amelichuliaje hili tatizo,sio big deal? mimi nateseka kwa zaidi ya decade sasa mkuu
Asante Sana Kwa ushauri japo Mimi kuunganisha changamoto inaanzia hapo!?Issue ya premature ni ndogo hapo inabidi uunganishe bao.
Ile la kwanza unaunga na la pili, bao la pili i guarantee uta last hata dk 10..
Moto unakuwepo Ila baada ya nusu saa ninaweza kuanza goli la pili Ila muda unakuwa kama ule wa mwanzoKazi ni kubwa na baad ya Early first ejaculation unakua na Moto wa mchezo au unakata kabsa na uwez wa goli la pili unachukua dk ngap Tena!?
Kawaida ni kuwa baada ya goli moja kabla ya kwenda lingine huwa kuna mapumziko (recovery phase), kuna watu huwa inawaathiri kisaikolojia na kimwili pia hujikuta kuwa hawatamani tena kusex na wengine hawawezi tena kuendelea kusex. Kipindi hiki ubooooooo hauwezi kusimama , kipindi hiki kinaweza kudumu kwa dakika kadhaaa mpk masaa 24.Moto unakuwepo Ila baada ya nusu saa ninaweza kuanza goli la pili Ila muda unakuwa kama ule wa mwanzo
Yes,kegel exercise inapunguza sana tatizo la erectile dysfunction.Kegel exercise inasaidia kwenye kumaintain erections??
Haujataka hata kusolve na Mpenzi wako au mke amelichuliaje hili tatizo,
Hii juice inaandaliwa vipi?Pia kama una tatizo la kumantain erection tumia sana juice ya matikiti mix na ndimu au kunywa juice ya tende iliyomixiwa na maziwa
Chukua tikiti ,likate vipande vipande (nyama yake ya ndani) ,saga ..then kamulia na ndimu kisha unywe.Hii juice inaandaliwa vipi?
Poa nashukuru kiongoziChukua tikiti ,likate vipande vipande (nyama yake ya ndani) ,saga ..then kamulia na ndimu kisha unywe.
Kwa juice ya tende
Nunua tende,then zitoe kokwa zake kisha ziloweke kwenye maziwa fresh baada kama ya saa nzima hivi zitakuwa zimeshalainika hapa unaweza kusaga mchanganyiko huo na kupata smoothie .hapa unakunywa asubuhi na usiku kabla ya kulala.
Soma ujumbe wangu uelewe nilihitaji kuboost imenisaidia nimeacha Kwa sasa.Viagra ni dawa ya kutibu au ni booster? Mzee unazidi kuongeza tatizo
Sasa Booster inaweza kuwa Tiba Kwa mtu mwenye Hofu ambapo akikutana na mwanamke hawezi kusimamisha.so Mimi imenisaidia Sana katika Hilo na ndio maana nimekuja kujitolea USHUHUDANijuavyo mimi VIAGRA ni booster sina uhakika sana kama ni tiba
Asubuhi nasimamisha Vizuri Ila Nikikutana na mwanamke ninasimamisha kwenye Romance baada ya Hapo Hamna kitu linaendelea.Mkuu pole sana, kwahiyo wewe ilikua hata ukiamka asubuhi husimamishi??
Vipi ukiona upaja/kiuno/ titi saa 6 za mtoto udenda haukutoki am hupati uchu??
Ishawahi kunitoke hii mara nyingi Mimi nilikuwa napiga Punyeto Tu..au hata siku nyingine kunywa maji mengi japo kichwa uwa kinaumaMi nauliza ukizitumia hizo dawa halafu demu asitokee inaweza kukuletea madhara?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Nimekutumia meseji cheki pmIshawahi kunitoke hii mara nyingi Mimi nilikuwa napiga Punyeto Tu..au hata siku nyingine kunywa maji mengi japo kichwa uwa kinauma
Pole na hongera kwa kujitubia mkuu, nadhani ilikua ni hofu tu.Asubuhi nasimamisha Vizuri Ila Nikikutana na mwanamke ninasimamisha kwenye Romance baada ya Hapo Hamna kitu linaendelea.