Nimepona tatizo la nguvu za kiume kwa kutumia Viagra

Kwan ipi ambayo ni common na haina madhara au addiction mbovu!?
Drugs zote zina kitu kinaitwa side effects na contraindications..so Kama utamua kutumia tumia Kwa lengo la kuboost amua kutumia Kwa muda mfupi Tu wala usiwe mrefu maana itakuwa addicted
 
Ulitumia mda gani ndio ukaacha mkuu au mara ngapi
Nilianza kutumia lastly year mwezi wa 6 na nilikuwa natumia Kwa vipindi Tofauti tofauti sikuwa nafululiza maana mm nilikuwa na kutana na mwanamke Kwa plan sio emergency nimeacha rasmi mwaka huu mwezi wa Kwanza mara 10 inafika haizidi hapo
 
Sawa mkuu kwa iyo toka mwezi wa kwanza ulipoacha mambo yakawa safi? Na vipi ulipima pressure na mambo mengine kwanza maana nasikia lazima upate ushauri wa wataalamu kabla ya kutumia??
 
hongera sana mkuu.

kiukweli ulikuwa na wakati mgumu sana. Sasa bila shaka unatembeza kichapo cha P vilivyo.

Huu ndo muda muagaka wa kuvuta jiko ujilie kwa raha zote yako mwenyewe tena ya halali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…