Nimeponea chupuchupu kulipia kundi kwenye mtoko

Nimeponea chupuchupu kulipia kundi kwenye mtoko

Bora hata hiyo hela angebakia nayo madaiwa sugu.Naamini ni mwanaume huyo mdaiwa.Umekwenda kulisha manyang'au ambayo hata ukiwa na shida hata ya buku hayakupi.Sisi wanaume wakati mwingine bhana tunazingua.Usikute huyo jamaa ulimdai kwa karaha.[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa demu alipifa dili na mdaiwa sugu kumtekenya mifuko jamaa. Mimi nisingevumilia mangi. Yaani ingekuwa ndo mwisho wangu na yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna mtu kalalamika hapa, akina dada wacheni misukule nyuma., halafu wewe kijana bado mpuuzi tu!! oa uwe unapeleka mkeo outing!! sawa????????
 
Huyo sio GF wako,huyo anakuchukulia kama mfadhili wake tu au sponsor wanaita.ungemwita aje kwako mpike mle mnaagiza na vinywaji hata elfu 30 isingeisha ,soma basics za economics mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwastaili hili kweli kupiga hatua nishida ,, MTU ushapoteza almost laki nzima na ushereee alafu bado unaona umejisaidia ???

Akili za mwanamme kweli anazijua mwenyewe.
Yeye anaona kapoteza pesa kidogo wakati kuna watu wenye kipato kikubwa zaidi yake hawawezi kutumia pesa kijinga namna hiyo,ninao uhakika huyu jamaa asipobadilika atazeeka akiwa na pesa yakawaida tu kwenye akaunti.

Ninao marafiki zangu wengi tu ambao wana akili kama mleta mada,huwa nashuhudia jinsi wanavyokuja kudharaulika katika matukio ambayo hawayategemei.

Invest whichever money you get for the sake of good end of your lifetime with your closest dependants.

Sure ,,huyu mkuu asipobadilika umasikin hatokuja kuukwepa.
 
Back
Top Bottom