Nimeponea chupuchupu kulipia kundi kwenye mtoko

Itakuwa demu alipifa dili na mdaiwa sugu kumtekenya mifuko jamaa. Mimi nisingevumilia mangi. Yaani ingekuwa ndo mwisho wangu na yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna mtu kalalamika hapa, akina dada wacheni misukule nyuma., halafu wewe kijana bado mpuuzi tu!! oa uwe unapeleka mkeo outing!! sawa????????
 
Huyo sio GF wako,huyo anakuchukulia kama mfadhili wake tu au sponsor wanaita.ungemwita aje kwako mpike mle mnaagiza na vinywaji hata elfu 30 isingeisha ,soma basics za economics mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwastaili hili kweli kupiga hatua nishida ,, MTU ushapoteza almost laki nzima na ushereee alafu bado unaona umejisaidia ???


Akili za mwanamme kweli anazijua mwenyewe.
Yeye anaona kapoteza pesa kidogo wakati kuna watu wenye kipato kikubwa zaidi yake hawawezi kutumia pesa kijinga namna hiyo,ninao uhakika huyu jamaa asipobadilika atazeeka akiwa na pesa yakawaida tu kwenye akaunti.

Ninao marafiki zangu wengi tu ambao wana akili kama mleta mada,huwa nashuhudia jinsi wanavyokuja kudharaulika katika matukio ambayo hawayategemei.

Invest whichever money you get for the sake of good end of your lifetime with your closest dependants.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure ,,huyu mkuu asipobadilika umasikin hatokuja kuukwepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…