Nimeponyeka kutapeliwa na rafiki wa facebook


Aisee wewe ni mjanja sana,, na inavyoonekana hauishi dar. Kama co wa mwanza bac dodoma or morogoro. Mwanaume wa dar lingemkuta hili dahh 🤣
 
Kuna mmoja Nilichat nae LinkedIn akasema yeye ni engineer yupo Egypt [emoji1093] anataka kuja kikaz Dar es salaam kuanzia July mpka leo kila siku anasema atakuja nikaja kustukia anataka nimtumie ela sijui akifika anirudishie nikamblock
 
hapo hakuna mzungu wala nani
Ni matapeli wa west Africa tu hapo wanataka kukuibia, na hapo ujue unachati na mtu mmoja kwenye kila account
 
Ulikua na muda mwingi sana wa kupoteza kuchati nao hao, mimi zikija message za hivyo huwa na reply na porn moja chafu sana mtu akiliwa 0715.. tunapotezana hapo hapo

Dah jamaa umetishaaaa[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
 
[emoji28][emoji28][emoji28]hii ata mimi tayari alikua mwanajeshi wa kike kaji tambulisha kwa picha na dollars zipo kwenye beg anajiita sargent Eve..ni mda kidogo
 
Punguza tamaa uchwara ndugu,
Huyo sio mzungu huyo ni Mnigeria hizo ndio ishu zao, Hujifanya either demu wa kizungu au Man wa kizungu kutapeli wetu.
Hii haijampata yeye.
Uzi huu una maudhui haya HAPA

WatuNiStory
kutoka ukurasa wa W A T U
 
Aisee wewe ni mjanja sana,, na inavyoonekana hauishi dar. Kama co wa mwanza bac dodoma or morogoro. Mwanaume wa dar lingemkuta hili dahh 🤣

Aliye simulia hii anatokea Dar.

Uzi huu una maudhui haya HAPA

WatuNiStory
kutoka ukurasa wa W A T U
 
Juzi bhana kuna pisi ya kizungu iliniomba urafiki facebook, nikakubali tukawa tunachat akaniomba namba ninayotumia WhatsApp nikampa mtoto anasema ananitumia zawadi za simu na laptop.

Sasa hivi hapa nasubiri siku zikifika ataniamba.
 
Hicho ni kipisi cha kizungu

 
Waongo ilishanikuta siku wakituma watakwambia ndege inaishia Ghana hivo atakwambia yeye yuko bize na amemkabidhi rafiki yake akuletee huo mzigo na huyo rafiki atakwambia amepungukiwa pesa na hivo ongezea pesa ya kutuma mzigo kutoka Huko Ghana[emoji23]
 
Juzi bhana kuna pisi ya kizungu iliniomba urafiki facebook. nikakubali tukawa tunachat akaniomba namba ninayotumia WhatsApp. nikampa mtoto anasema ananitumia zawadi za simu na laptop sasa hivi hapa. nasubiri siku zikifika ataniamba
Safi. Atakuambia kakutumia kwa FedEx..

Utapigiwa na ofisi ya FedEx Kenya kwa ajili ya kuchukua mzigo wako. Namba ya Kenya itakupigia, itakuambia unapaswa ulipe dollar kadhaa za usafiri uletewe mzigo wako.

Ukituma utapata mzigo wa Maumivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…