SanaHaiwezi simama si kaparalyze kiunoni ila pole kwake anapita mateso sana
👏👏Tuwe na staha kidogo, vipo vya kufanyia dhihaka lakini si maradhi ya mtu.
Inawezekana ikawa umeuliza kwa nia ya kutaka kujua lakini hudhani si wakati muafaka kuuliza hilo swali.
Ni kama unaetia ndimu kidonda.
Anyways ni mtazamo wangu tu sina dhamira ya kujifanya nina maadili zaidi.
Tuwe na staha kidogo, vipo vya kufanyia dhihaka lakini si maradhi ya mtu.
Inawezekana ikawa umeuliza kwa nia ya kutaka kujua lakini hudhani si wakati muafaka kuuliza hilo swali.
Ni kama unaetia ndimu kidonda.
Anyways ni mtazamo wangu tu sina dhamira ya kujifanya nina maadili zaidi.
Unataka kumtunuku kama Afande nini😂Pole sana ila dudu inasimama?
Na hajasema location yake..CHIZI VITABU nenda ikonda pale Kuna wazungu utapona
ndiyo unajiona kidume au vipi?Nimesikitika kusikia huyu jamaa dudu alisimami halafu mimi leo nina game
nina imani utapona siku si nyingi mkuu
wacheni masikhara mwenzenu anataka msaada serious. Ingekuwa wewe ungefurahia kuambiwa hivyo?Unataka kumtunuku kama Afande nini😂
Sasa anauliza kama anadisa ili iweje??? Kama sio kumuongezea maumivu mgonjwawacheni masikhara mwenzenu anataka msaada serious. Ingekuwa wewe ungefurahia kuambiwa hivyo?
Mkuu!!!Nimesikitika kusikia huyu jamaa dudu alisimami halafu mimi leo nina game
nina imani utapona siku si nyingi mkuu
Ebu njoo inbox nikuulize kituNimesikitika kusikia huyu jamaa dudu alisimami halafu mimi leo nina game
nina imani utapona siku si nyingi mkuu
ThxMafuta ya zaituni, habisouda na swaum kwa wingi changanya after grind, Chua kuanzia kichwani, kwenye uti wa mgongo malizia miguuni, ni inbox jina lako nikuweke kwenye maombi, for sure najiamini kwenye maombi and then baada ya wiki mbili utujuze maendeleo, pole sana mkuu!
Pole utainuka tena.Em sema moyoni mwako "nitasimama tena" ...I swear utainuka tena.In Jesus name! Nakumbuka nilikuwa nafanyiwa operation ya kujifungua mtoto wangu kutokana na matatizo ya pressure..... pressure ilipanda sana ...nikawa nafanyiwa operation ya nusu kaputi hali haikuwa njema nikawekewa mashine ya kupumulia ...huku naongeleshwa taratibu...huku nikiitwa jina langu nasikia naitika..abee!....nikaanza jihisi usingizi nikataka kulala lakini nafsi ikaniambia ndo unakufa ivo...aisee nikaanza kuomba kimoyomoyo huku nikishindana na nini sijui....nikawa najisemea "nataka kuishi,nataka kumwona mwanangu Yesu" ....aisee ...nikasikia kuitwa tena Kwa nguvu....nikaitika ...abeee..🥺🥺🥺😰😰😰 kumbe nao walikuwa wananiangaikia ...nilishafumba macho ....ooo Jehova uinuliwe daima🙏🙏🙏🙏
Pole ndugu yangu. Mungu ni wetu soteMsaaada jamani mwezi wa sita huu nimefanya matibabu ya kila aina,hospital paliponifilisi na mri scan,dawa za asili na kisuuna hadi maombi
Nakata tamaa sasa
unahuruma sana mrembo.ubalikiwe..Usikate tamaa ...utapona...hakikisha unaenda hosp nyinginr kubwa