malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Mkorea anapatikana wapNdiyo nilimpeleka kwa huyo mkorea tatizo likaonekana kwenye pingili za shingo na mishipa ya fahamu ndo maana akawa kama anapooza upande mmoja wa kulia.
Vyote amepona shida sasa imebaki kichwani anasikia kelele kama za mtu anapiga manyanga,hiyo nayo imekuwa ngumu kutoka kila dogo akienda clinic anaambiwa itaisha though ni gharama nakomaa nae maana kidogo kwa hawa jamaa nimeona kuna mwanga wa kupona