Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipende kuomba radhi kwa kupotea jamvini kwa muda.
Sababu kubwa ni majukumu mengi niliyopewa.
Wakati muafaka ukifika nitarejea.
bado misimamo yangu ni ile ile na kamwe haitobadilika.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hiyo haina shaka, tulikotoka haturudiPunguza Shaka the legacy will survive at all cost!
Baba aliwanyoosha watumishi wa umma, machinga wakashangilia. Mama anawanyoosha machinga, watumishi wa umma wanashangilia. Hakuna muendelezo hapo jomba!baba kafa lakini anaendeleza maisha kupitia Mama
Kutesa kwa zamu sio...Baba aliwanyoosha watumishi wa umma, machinga wakashangilia. Mama anawanyoosha machinga, watumishi wa umma wanashangilia. Hakuna muendelezo hapo jomba!
Kwanza usilete utani, unanijua mi ni nani? 😁
machinga watapangwa vizuri...hoja ni sera na sheria rasmi ya kuwapanga..Iam sure itafanikishwa.Baba aliwanyoosha watumishi wa umma, machinga wakashangilia. Mama anawanyoosha machinga, watumishi wa umma wanashangilia. Hakuna muendelezo hapo jomba!
Kwanza usilete utani, unanijua mi ni nani? 😁
Aliyekua anajiita jiwe Yuko wapi Siku hizi?wapinzani ndio wapenda shobo hadi wanafanya ugaidi
Upo kwenye eda bado? Eti mnisamehe nani alikumiss humu? Una umuhimu gani we mlima furu wa CHATO? btw pole kwa msibaNipende kuomba radhi kwa kupotea jamvini kwa muda.
Sababu kubwa ni majukumu mengi niliyopewa.
Wakati muafaka ukifika nitarejea.
bado misimamo yangu ni ile ile na kamwe haitobadilika.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Liwalo na liwe sisi teamMAMA tunasema mitano tena kwa mama, atake asitake.Hiyo ni perception ya dunderheads tu.
The governance is a continous process
Alifiwa na mmewe kumbe?Upo kwenye eda bado? Eti mnisamehe nani alikumiss humu? Una umuhimu gani we mlima furu wa CHATO? btw pole kwa msiba