Nimepotea Jamvini kwa sababu ya majukumu tu

Nimepotea Jamvini kwa sababu ya majukumu tu

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Nipende kuomba radhi kwa kupotea jamvini kwa muda.
Sababu kubwa ni majukumu mengi niliyopewa.
Wakati muafaka ukifika nitarejea.
bado misimamo yangu ni ile ile na kamwe haitobadilika.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Nilidhani Ni miongoni mwa I'd za Saa mbaya.
 
Nipende kuomba radhi kwa kupotea jamvini kwa muda.
Sababu kubwa ni majukumu mengi niliyopewa.
Wakati muafaka ukifika nitarejea.
bado misimamo yangu ni ile ile na kamwe haitobadilika.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Nilikukumbuka sana leo, nikajisemea hii birthday yangu na mshua mwaka huu hadi jingalao kapotea..... kwangu ngumu maana bado naomboleza😎😎

Endelea kupumzika kwa amani kipenzi chetu John Pombe Joseph Magufuli 🇹🇿🙏

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote 😍🇹🇿🙏
 
Baba aliwanyoosha watumishi wa umma, machinga wakashangilia. Mama anawanyoosha machinga, watumishi wa umma wanashangilia. Hakuna muendelezo hapo jomba!
Kwanza usilete utani, unanijua mi ni nani? 😁
Kutesa kwa zamu sio...

Rais wa wanyonge Vs Rais wa walipa kodi
 
Baba aliwanyoosha watumishi wa umma, machinga wakashangilia. Mama anawanyoosha machinga, watumishi wa umma wanashangilia. Hakuna muendelezo hapo jomba!
Kwanza usilete utani, unanijua mi ni nani? 😁
machinga watapangwa vizuri...hoja ni sera na sheria rasmi ya kuwapanga..Iam sure itafanikishwa.
 
Nipende kuomba radhi kwa kupotea jamvini kwa muda.
Sababu kubwa ni majukumu mengi niliyopewa.
Wakati muafaka ukifika nitarejea.
bado misimamo yangu ni ile ile na kamwe haitobadilika.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Upo kwenye eda bado? Eti mnisamehe nani alikumiss humu? Una umuhimu gani we mlima furu wa CHATO? btw pole kwa msiba
 
Back
Top Bottom