Nimepoteza kadi ya mpiga kura. Nilijiandikisha Jumanne, imepotea leo ijumaa

Naombeni msaada wa mawazo wa jinsi ya kupata kingine kama inawezekana.

Kumbuka: Uboreshaji wa daftari la wapiga kura bado unaendelea. Mwisho ni Jumapili hapa Daslam

Nahofia kwenda kwenye kituo cha kura. Nahofia watanizaba mabanzi kwa uzembe
Nenda Katie taarifa police upewe lost report rudi wakakutengenezee kingine
 
Yaani unaogopa tu kutoa taarifa eti utazabwa mabanzi? mtoto wa kiume unatutia mashaka aisee.
 
Naombeni msaada wa mawazo wa jinsi ya kupata kingine kama inawezekana.

Kumbuka: Uboreshaji wa daftari la wapiga kura bado unaendelea. Mwisho ni Jumapili hapa Daslam

Nahofia kwenda kwenye kituo cha kura. Nahofia watanizaba mabanzi kwa uzembe
Hapo uwende police mkuu
 
Ama kweli we Wamatukio ....hahahaaa!
 
Naombeni msaada wa mawazo wa jinsi ya kupata kingine kama inawezekana.

Kumbuka: Uboreshaji wa daftari la wapiga kura bado unaendelea. Mwisho ni Jumapili hapa Daslam

Nahofia kwenda kwenye kituo cha kura. Nahofia watanizaba mabanzi kwa uzembe
Laana za kukaidi no reform no election
 
Mambo menyewe magumu sana. Wacha niwaache wao kama taifa na mambo yao. Habari za kujipeleka police siwezi.
 
Si unajua police wetu mkuu, police njaa njaa, wanaweza kunisukumia ndani ninyee debe. Ukiachana na baamedi, police siwaaminigi kabisa.

Kwani gharama ya kupata hicho kijireport ni kiasi kipi cha pesa?
500 tu
 
Back
Top Bottom