Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Nenda Katie taarifa police upewe lost report rudi wakakutengenezee kingineNaombeni msaada wa mawazo wa jinsi ya kupata kingine kama inawezekana.
Kumbuka: Uboreshaji wa daftari la wapiga kura bado unaendelea. Mwisho ni Jumapili hapa Daslam
Nahofia kwenda kwenye kituo cha kura. Nahofia watanizaba mabanzi kwa uzembe
Kwani ni lazima kwenda police mkuu? Hawatonisweka ndani kwa uzembe?Nenda Katie taarifa police upewe lost report rudi wakakutengenezee kingine
Hapo uwende police mkuuNaombeni msaada wa mawazo wa jinsi ya kupata kingine kama inawezekana.
Kumbuka: Uboreshaji wa daftari la wapiga kura bado unaendelea. Mwisho ni Jumapili hapa Daslam
Nahofia kwenda kwenye kituo cha kura. Nahofia watanizaba mabanzi kwa uzembe
Kwa hiyo mkuu, nikatoe taarifa kwenye kituo kipi ili iwe express? Kituo cha kuandikisha ama kituo cha polisi?Yaani unaogopa tu kutoa taarifa eti utazabwa mabanzi? mtoto wa kiume unatutia mashaka aisee.
Polisi siku hizi wanatoa loss report kwa mtandao ndugu, ukipata nenda ulipojiandikisha.Kwa hiyo mkuu, nikatoe taarifa kwenye kituo kipi ili iwe express? Kituo cha kuandikisha ama kituo cha polisi?
Sasa police wanahusiana vipi na uchaguzi? (Anyway) Hakuna gharama watakazozidai?Hapo uwende police mkuu
Ama kweli we Wamatukio ....hahahaaa!Naombeni msaada wa mawazo wa jinsi ya kupata kingine kama inawezekana.
Kumbuka: Uboreshaji wa daftari la wapiga kura bado unaendelea. Mwisho ni Jumapili hapa Daslam
Nahofia kwenda kwenye kituo cha kura. Nahofia watanizaba mabanzi kwa uzembe
Acha uoga kijanaKwani ni lazima kwenda police mkuu? Hawatonisweka ndani kwa uzembe?
Anyway, police hawatonitoza pesa?
Kivipi mkuu, mtandao upi unaomaanisha? Ama wanarushiana mipira?Polisi siku hizi wanatoa loss report kwa mtandao ndugu, ukipata nenda ulipojiandikisha.
Laana za kukaidi no reform no electionNaombeni msaada wa mawazo wa jinsi ya kupata kingine kama inawezekana.
Kumbuka: Uboreshaji wa daftari la wapiga kura bado unaendelea. Mwisho ni Jumapili hapa Daslam
Nahofia kwenda kwenye kituo cha kura. Nahofia watanizaba mabanzi kwa uzembe
Una makosa Gani mpk uwekwe ndani?Sasa police wanahusiana vipi na uchaguzi? (Anyway) Hakuna gharama watakazozidai?
Hawawezi kunisweka ndani?
Si unajua police wetu mkuu, police njaa njaa, wanaweza kunisukumia ndani ninyee debe. Ukiachana na baamedi, police siwaaminigi kabisa.Una makosa Gani mpk uwekwe ndani?
Hata kama ni wewe mkuu, ungekuwa tayari kujisalimisha kituo cha police? Kama hawawezi kunipa kadi nyingine pale pale kwenye kituo cha kujiandikisha, ndo imetokaLaana za kukaidi no reform no election
500 tuSi unajua police wetu mkuu, police njaa njaa, wanaweza kunisukumia ndani ninyee debe. Ukiachana na baamedi, police siwaaminigi kabisa.
Kwani gharama ya kupata hicho kijireport ni kiasi kipi cha pesa?