Contact zake ndo zinamuumaKai-swap tu mkuu hauzidi 5000..
Labda kama na weww pia uliichukua kwa mtu
Yeyote anaeokota simu na hana nia ya kurudisha hiyo simu huwa cha kwanza ni kutoa laini na kuitupa, ninauhakika hata huyo aliyeiokota hawezi kuipataNida ni yangu mkuu Nisha swap naitaka hiyo line
Daah line inanunuliwa kwa laki mbili aisee ukute sio lain inayotafutwa pana miguu inatafutwa hapo au mtu apewe kesi kabisaa..Personal baba, Kama Mtu ameokota hiyo line Hata 200K= Nampa
Na hapo juu kasema hata 200,000/= anatoaKuna mahali nimeona utatoa zawadi ya 50,000/= lakini hapa naona umeandika 100,000/=. Au ni mimi nimechanganya madesa.
Hivi ingekuwa ni laini ya CIA au Mosad isingepatikana?Na hapo juu kasema hata 200,000/= anatoa
Wala sio kesi, naitaji hiyo line. Na Sina shida na Alie okota hiyo line. Nimeisha Re New lakini hiyo line jinsi ninavyoihitaaji nimetoka Uko mda huu nimewambia Vijana wa Boda Boda na Hata Wamama niliowakita Mitaa nilidondosha Simu. Hakuna kesi Ila kuipata hiyo line Ni Jambo jema kwanguDaah line inanunuliwa kwa laki mbili aisee ukute sio lain inayotafutwa pana miguu inatafutwa hapo au mtu apewe kesi kabisaa..
Umepanda dau tena?Juzi nilidondosha Simu ndogo/Kitochi Nokia 3310.Mda wa saa Kumi jioni.
Maeneo ya Mwera darajani Kibada(Kigamboni) kabla ya kulikaribia Daraja Au Baada ya Daraja Mitaa hiyo.
Hiyo line Ni ya Halotel inapasswed.
Kama Kuna mtu ameokota Natoa Offa ya Tsh 100,000/=
#Nitaifuata hapo kwa Gharama za
#.line nimesha Re New(Swap).
Ila Nina ihiitaji hiyo line. Ndomana nimeweka hiyo offer.