Nimepoteza laini ya simu. Natoa ofa ya 100,000/= kwa mtu alieiokota

Nimepoteza laini ya simu. Natoa ofa ya 100,000/= kwa mtu alieiokota

Wala sio kesi, naitaji hiyo line. Na Sina shida na Alie okota hiyo line. Nimeisha Re New lakini hiyo line jinsi ninavyoihitaaji nimetoka Uko mda huu nimewambia Vijana wa Boda Boda na Hata Wamama niliowakita Mitaa nilidondosha Simu. Hakuna kesi Ila kuipata hiyo line Ni Jambo jema kwangu
mkuu ukiisha renew,ile uliyoitolea ripoti inakufa hapo hapo,haitaweza kusoma wala kufanya kazi tena.

kama ni issue za kibenki nenda kaitoe tu omba kuingiza line nyingine.
 
Ndio Kama unamjua mpe mawasiliano nimpe Pesa yake.
Jibugi kwa wakati mie nimefaa kuona sio nipo kwenye tukio mie najuwa tu nakuona jambo la mtu liwe la hero au sio nipo Arusha hushangai najua nimejuaje ungenijibu on time ungepata chipu yako sasa na mvua zote hizi jamani utaipata kweli. Ulikuwa unasimu mbili na ulikuwa umetoka home unaelekea dukani sindio na ilikuwa mida ya ijioni .

Kuna kazi bro unaifanya fulani. Au ngoja niache tu.
 
Back
Top Bottom