Nimepoteza laini ya simu. Natoa ofa ya 100,000/= kwa mtu alieiokota

mkuu ukiisha renew,ile uliyoitolea ripoti inakufa hapo hapo,haitaweza kusoma wala kufanya kazi tena.

kama ni issue za kibenki nenda kaitoe tu omba kuingiza line nyingine.
 
Ndio Kama unamjua mpe mawasiliano nimpe Pesa yake.
Jibugi kwa wakati mie nimefaa kuona sio nipo kwenye tukio mie najuwa tu nakuona jambo la mtu liwe la hero au sio nipo Arusha hushangai najua nimejuaje ungenijibu on time ungepata chipu yako sasa na mvua zote hizi jamani utaipata kweli. Ulikuwa unasimu mbili na ulikuwa umetoka home unaelekea dukani sindio na ilikuwa mida ya ijioni .

Kuna kazi bro unaifanya fulani. Au ngoja niache tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…