Dah....komaa hivyo hivyo [emoji1787][emoji56][emoji725]Wadau,
Tangu nimetemana na baby wangu a.k.a wife to be back in the days.....nimepoteza hizia/Affectional za mahusiano kabisa....sikuhizi nimekuwa wa ku-hit and run...some are coming with good intention and commitment ila kwa upande wangu...nimepoteza muelekeo na umri unazidi kusonga....na maswali ya kinafiki yanazidi kuibuka kila leo kwenye familia.....kama kibarua ninacho cha kujikimu kabisa lakini nakwama kwenye kuupa moyo ukipendacho!!
Nakwama wapi????na kwanini nimekosa emotional feeling za mahusiano????????nini hatma yangu ???
baharia nibaki hivi kweli?????????/
Mdanganye tuu mwenzio
Kupenda penda sio kuzurii...labda apende jionii aache asubuhiMdanganye tuu mwenzio
Aiseee
Wadau,
Tangu nimetemana na baby wangu a.k.a wife to be back in the days.....nimepoteza hizia/Affectional za mahusiano kabisa....sikuhizi nimekuwa wa ku-hit and run...some are coming with good intention and commitment ila kwa upande wangu...nimepoteza muelekeo na umri unazidi kusonga....na maswali ya kinafiki yanazidi kuibuka kila leo kwenye familia.....kama kibarua ninacho cha kujikimu kabisa lakini nakwama kwenye kuupa moyo ukipendacho!!
Nakwama wapi????na kwanini nimekosa emotional feeling za mahusiano????????nini hatma yangu ???
Pole sana mkuu, well let me tell you some,
The way you see the world will
depend upon the emotions you are feeling, una feel hicho unachofeel sababu bado una maumivu ya mahusiano yako yaliyopita, i can say umestuck kwenye mahusiano yako yaliyopita kutokana na hisia ulizokuwa nazo juu ya huyo mwenza wako.
First you need the truth to open the emotional
wounds, take the poison out, and heal the wounds completely.
Unawezaje kujiponya maumivu ya mapenzi, kwanza ni kwa kusamehe kwasababu
Forgiveness is the only way to heal, samehe kwa kila kitu kilichotokea, Don't cry because it's over, smile because it happened, Amini kwamba Nafsi na moyo wako una thamani zaidi ya mahusiano ya mapenzi, then you need to be alive, let it go na maisha yaendelee kinachomatter zaidi kwenye maisha yako ni Furaha yako na si vinginevyo,
Hiko unachoendelea kufanya (eat n run) its just a temporary solutions you have to find a permanent solutions mkuu and that's to find your happiness na maisha yaendelee.
much appreciate mdau.....nimekuwa victim of my own shadow....na nimestuck hapo kwa muda mrefu mnooo...nashukuru kwa ushauri...be blessed