KITAULO
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,926
- 2,797
Wadau,
Tangu nimetemana na baby wangu a.k.a wife to be back in the days.....nimepoteza hizia/Affectional za mahusiano kabisa....sikuhizi nimekuwa wa ku-hit and run...some are coming with good intention and commitment ila kwa upande wangu...nimepoteza muelekeo na umri unazidi kusonga....na maswali ya kinafiki yanazidi kuibuka kila leo kwenye familia.....kama kibarua ninacho cha kujikimu kabisa lakini nakwama kwenye kuupa moyo ukipendacho!!
Nakwama wapi????na kwanini nimekosa emotional feeling za mahusiano????????nini hatma yangu ???