Nimepoteza muelekeo wa mahusiano baada ya kutemana na mtima wa moyo wangu

KITAULO

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
1,926
Reaction score
2,797
Wadau,
Tangu nimetemana na baby wangu a.k.a wife to be back in the days.....nimepoteza hizia/Affectional za mahusiano kabisa....sikuhizi nimekuwa wa ku-hit and run...some are coming with good intention and commitment ila kwa upande wangu...nimepoteza muelekeo na umri unazidi kusonga....na maswali ya kinafiki yanazidi kuibuka kila leo kwenye familia.....kama kibarua ninacho cha kujikimu kabisa lakini nakwama kwenye kuupa moyo ukipendacho!!

Nakwama wapi????na kwanini nimekosa emotional feeling za mahusiano????????nini hatma yangu ???
 
Dah....komaa hivyo hivyo [emoji1787][emoji56][emoji725]

Sent using Beretta ARX160
 
Furaha yako iko mikononi mwako!!
Mwachilie huyo ulombeba kwenye moyo wako aende, kama yeye alivyoamua kuondoka!!

Kabla ya kuanza mapenzi, anza kwanza urafiki halafu hayo mengine yataenda sawa tuu mkuu!
 
Pole Sana..ila pole zaidi kwa hao wanao hit-wa na kurun-iwa
 
Kwanini hiyo akili unayoitumia kuhit and run usiitumie kutafuta suluhu ya hii hali inayokutatiza?
 
Wadau,
Tangu nimetemana na baby wangu a.k.a wife to be back in the days.....nimepoteza hizia/Affectional za mahusiano kabisa....sikuhizi nimekuwa wa ku-hit and run...some are coming with good intention and commitment ila kwa upande wangu...nimepoteza muelekeo na umri unazidi kusonga....na maswali ya kinafiki yanazidi kuibuka kila leo kwenye familia.....kama kibarua ninacho cha kujikimu kabisa lakini nakwama kwenye kuupa moyo ukipendacho!!

Nakwama wapi????na kwanini nimekosa emotional feeling za mahusiano????????nini hatma yangu ???

Pole sana mkuu, well let me tell you some,
The way you see the world will
depend upon the emotions you are feeling, una feel hicho unachofeel sababu bado una maumivu ya mahusiano yako yaliyopita, i can say umestuck kwenye mahusiano yako yaliyopita kutokana na hisia ulizokuwa nazo juu ya huyo mwenza wako.

First you need the truth to open the emotional
wounds, take the poison out, and heal the wounds completely.

Unawezaje kujiponya maumivu ya mapenzi, kwanza ni kwa kusamehe kwasababu
Forgiveness is the only way to heal, samehe kwa kila kitu kilichotokea, Don't cry because it's over, smile because it happened, Amini kwamba Nafsi na moyo wako una thamani zaidi ya mahusiano ya mapenzi, then you need to be alive, let it go na maisha yaendelee kinachomatter zaidi kwenye maisha yako ni Furaha yako na si vinginevyo,

Hiko unachoendelea kufanya (eat n run) its just a temporary solutions you have to find a permanent solutions mkuu and that's to find your happiness na maisha yaendelee.
 
much appreciate mdau.....nimekuwa victim of my own shadow....na nimestuck hapo kwa muda mrefu mnooo...nashukuru kwa ushauri...be blessed
 
Furaha yako iko mikononi mwako!!
Mwachilie huyo ulombeba kwenye moyo wako aende, kama yeye alivyoamua kuondoka!!

Kabla ya kuanza mapenzi, anza kwanza urafiki halafu hayo mengine yataenda sawa tuu mkuu!
Thanks a lot my lady...
 
much appreciate mdau.....nimekuwa victim of my own shadow....na nimestuck hapo kwa muda mrefu mnooo...nashukuru kwa ushauri...be blessed

✊🏻✊🏻Furaha yako ni jukumu lako mkuu, pambana utoke hapo uliponasa chief.
 
Huyu ni mimi kabisa, ni mwaka wa tatu huu tangu nimempoteza mpenzi wa maisha yangu... tena kwa sababu za kijinga tu ila sasa sijioni kabisa kama nitapenda tena.

Hata nikioa, labda nijifanyishe tu.
 
Back
Top Bottom