Nimepoteza result slip....itakuwaje???

Nimepoteza result slip....itakuwaje???

Mtani cheti nimeletewa ijumaa na ochu bway nashangaa hakipo ndani na nimetafuta kote.....nitajaribu kuwasiliana na uongozi wa chuo haraka iwezekanavyo wanipe mwongozo

mtani me ya kwangu ndo kaniletea leo young babu...! Fanya kuwasiliana na uongoz wa chuo uone unasemaje!
 
vyeti vyote lazima uende navyo ili uweze kufanya usajili jitahidi utoe taarifa mapema necta ili waweze kutuma statement of results mapema kabla hujaenda kuripoti ili ukifika usipate usumbufu.

poa nitafanya hivyo! thanx
 
mtani hio imetokea lini! Kuhusu result slip haina shida kivile nenda police katoe taarifa then nenda net kaptrint tokeo lako then kagonge muhuri wa commisioner of oaths(kiapo) then unaenda nacho chuo ciku ya registration

printed results yenye muhuri wa mahakama haikubaliki siku hizi
 
vyeti vyote lazima uende navyo ili uweze kufanya usajili jitahidi utoe taarifa mapema necta ili waweze kutuma statement of results mapema kabla hujaenda kuripoti ili ukifika usipate usumbufu.

Statement of result hupewi mkononi,inatumwa kwa ems na ni muhimu kwenda police upate loss report,then uende kwenye ofice za magazeti ya serikali,utoe tangazo la kupotelewa cheti,then tangazo likitoka utoe copy ukurasa unaoonyesha tangazo,utoe copy a loss report upeleke baraza ukiwa na sh 10000 pamoja na anuani ya registrer,na iwe not less than a week kwenda chuo,then receipt a baraza pamoja na loss report na gazeti uviwasilishe kwa msajili,ni hayo tu
 
...kachukue nyingine mbona hako kadude sio ishu kukapata,ishu ukipoteza cheti...
 
Haina kazi kubwa hii si ulicheki wameandika valid until 30 nov
 
jamani mm niltafuta kredt fom fo bat chet kile cha kufaulu kupata kredt cjakipata bat result slip niliipata na cha chet cha fom fo og ninacho ivi watanizingua kwenye usajili.nisaidieni kwa wale wazoefu basi
 
Back
Top Bottom