Nimepoteza uwezo wa kujiamini kabisa na sielewi hatma yangu

Mwenyewe nimejiajiri ila tangu eid inaisha sijagusa mguu kwa ofisi yangu[garage] not sure whats got into me , i just dont feel it. Na apa sina hela na hapa nalala ndani siku kucha.
 
Wewe ndio mimi kabisa.
Yaani akili unakuwa nzito sana.

Ila najitahidi kujitibu kwa kufanya mazoezi hasa jogging naona inasaidia kidogo.
 
Back
Top Bottom