Nimepoteza uwezo wa kutongoza nisaidiwe kabla sijawa domo zege

Nauliza vipi unatongoza ,je kuna mafundisho au taaluma tujulisheni,wengine ni wale tunaongojea kaka nakupenda ,aau ata ujui ujibu vipi unamaliza na asante ndio ushamaliza,sasa embu tupeni ufundi !
 
Naomba rudisha simu kwa mwenyewe.
 
unamwita demu halafu unamwambia KIELEWEKE utaona mwenyewe anakufata nyuma hadi gero!
 
unamwita demu halafu unamwambia KIELEWEKE utaona mwenyewe anakufata nyuma hadi gero!
Je inategemea kabila au kabila yeyote tu ukimwambie KIELEWEKE ndio tiyari.
 
Nauliza vipi unatongoza ,je kuna mafundisho au taaluma tujulisheni,wengine ni wale tunaongojea kaka nakupenda ,aau ata ujui ujibu vipi unamaliza na asante ndio ushamaliza,sasa embu tupeni ufundi !
Nakupa home work mkuu ukimaliza leta mrejesho.
Kasikilize Ngoma ya Ney wa mitego the true boy Ngoma iitwayo Hawakatai harafu fata mafundisho aliyo toa Ney wa mitego the true boy.
Then uje kusema neno hapa.
 
Naona tatizo hapa kuna watu mnaponda na kuzarau,inawezekana kabisa tupo kundi moja tunahitaji mistari. Sioni ajabu maana naamini kama hujapata elimu basi mtihani.jamani msibanie kuweni kama mashetani hawaingii motoni peke yao ,mwageni mambo hapa tujifunze.
 
Yaani toa zote
πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
Jiwe Alisema Hapendwi Mtu Inapendwa Pesa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hawakatai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…