Tengeneza juisi ya Bitruti inaongeza kwa haraka sanaNahitaji kujua dawa ya kusaidia kuongeza damu nimepungukiwa na damu wakuu msaada tafadhal
Yanaotwa roselaKunamajani yanarangi nyekundu unachemsha then unakunywa km juice+ sukar kdg
Ila jina nimesahau wee nenda sokoni ukiulizia utayapata
Pole, kama uko Dar nenda solo la buguruni au kariakoon nunua kitu inaitwa BITI RUTI. Tunda hilo litakusaidia sanaNahitaji kujua dawa ya kusaidia kuongeza damu nimepungukiwa na damu wakuu msaada tafadhal
YeaaahhhhYanaotwa rosela
Nani kakuambia umepungukiwa damu. Kama ni hospitali ni lazima watakuwa wamekueleza cha kufanya kuongeza damu,ila kama unatafuta ushauri humu JF, basi kale matembele kwa wingi itaongezekaNahitaji kujua dawa ya kusaidia kuongeza damu nimepungukiwa na damu wakuu msaada tafadhal
RozzelaKunamajani yanarangi nyekundu unachemsha then unakunywa km juice+ sukar kdg
Ila jina nimesahau wee nenda sokoni ukiulizia utayapata
Huna maanaNyanya ya kopo changanya na koka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huna maana
YeahhhhRozzela
sijakwenda hospital ila kwa jinsi ilivyo ninahakika kuwa damu nimepungukiwa maana hata ikitokea nimejikata damu haitok mpaka uminyeNani kakuambia umepungukiwa damu. Kama ni hospitali ni lazima watakuwa wamekueleza cha kufanya kuongeza damu,ila kama unatafuta ushauri humu JF, basi kale matembele kwa wingi itaongezeka