Nimepungukiwa na damu mwilini

Nimepungukiwa na damu mwilini

Mtoro8

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
335
Reaction score
172
Nahitaji kujua dawa ya kusaidia kuongeza damu nimepungukiwa na damu wakuu msaada tafadhal
 
Kunamajani yanarangi nyekundu unachemsha then unakunywa km juice+ sukar kdg
Ila jina nimesahau wee nenda sokoni ukiulizia utayapata
 
Naona wajawazito wanashauriwa kunywa juice ya matembele! Yaani blend matembele chuja unywe
 
Rosella(Choya) unachemsha unakunywa kama juice ukipata na ubuyu wa unga unaweka vijiko viwili
 
Nahitaji kujua dawa ya kusaidia kuongeza damu nimepungukiwa na damu wakuu msaada tafadhal
Pole, kama uko Dar nenda solo la buguruni au kariakoon nunua kitu inaitwa BITI RUTI. Tunda hilo litakusaidia sana
 
Nahitaji kujua dawa ya kusaidia kuongeza damu nimepungukiwa na damu wakuu msaada tafadhal
Nani kakuambia umepungukiwa damu. Kama ni hospitali ni lazima watakuwa wamekueleza cha kufanya kuongeza damu,ila kama unatafuta ushauri humu JF, basi kale matembele kwa wingi itaongezeka
 
Tafuta vidonge vya FEFOL... Ongea na mjamzito yeyote akusaidie kuvipata iwapo utavikosa famasi.
 
Inaonekana sio mtumiaji wa mboga za majani na matunda kama ndio basi anza kutumia kwa ari mpya nguvu mpya na kasi mpya itaongezeka tu mkuu
 
Nani kakuambia umepungukiwa damu. Kama ni hospitali ni lazima watakuwa wamekueleza cha kufanya kuongeza damu,ila kama unatafuta ushauri humu JF, basi kale matembele kwa wingi itaongezeka
sijakwenda hospital ila kwa jinsi ilivyo ninahakika kuwa damu nimepungukiwa maana hata ikitokea nimejikata damu haitok mpaka uminye
 
Back
Top Bottom