Nimerejea JF baada ya kuupitia mtandao wa X (Twitter)

Mkuu wewe kipaji chako ni kuchakata mbususu na kuchakata chipsi, X is too big for you man, unapaponda sababu hakuna sehemu ya kula tunda kimasihara kama kwa ricky boy ? X worth $50 billion na hii value haiji tu mzee Yan value yake sio ya kutungatunga kama unatunga mistari ya profesa J ya ndio mzee, Run jaribu kumuheshimu Jack Dorsey kidogo basii
 
Sema umeipumzisha id yako nyingine umeibuka na hii 😹😹😹
 
Yupo sahihi, kipindi cha nyuma X na Jf ilikuwa na sifa ya mitandao wa "wasomi". Kwasasa X ni tik tok iliyozubaa.

Mara ya mwisho X kuwa ya maana ni 2017 kurudi nyuma kabla wakina Madenge kuanza post upumbavu.
Mkuu hapo tatizo liko na wewe , sababu ya watu watu uliowa follow wewe ndio unapata content hizo hizo, kwahiyo X unapata unachokitaka, ukiowafolo wapuuz, utapata tu habari zao X algorithm works by analyzing user interactions to understand their preferences, prioritizing content from accounts that a user frequently engages with, including likes, retweets, replies, and follows, essentially showing them more content similar to what they've interacted with positively in the past. So you go around mingling stupid stuffs ile platform itakuletea hayo matakataka mpaka siku ubadilike uanze kufungua page za maana....
 
Nitajie nimfolow nani ili nipate vya uhakika,Madenge ,spana konk ,tajiri la kihaya ,ney poul ,trump au huyo Elon tajiri anaepost post Kila content
 
Shida umeenda ukafollow wapashkuna. Twitter ni tamu sana ila kama hao wapuuzi ulioengage nao ulitakiwa sasa uengage na watu wa maana. Uongee hata ngeli kidogo.
Bila hivo. Utaingia uko ukutane demu mmoja wapwa wote wanamuona mkali sijui nono sijui coco.
Repost zote unakuta esir.😂😂😂😂.
Futa fungua nyingine. Engage na sound minds
 
Mkuu pengine upo sahihi kwa watumiaji wengi lakini naomba nijitenganisha kati ya hao, nina account X kama mbili zote kwa pamoja sidhani kama zimefikisha followers na follows 10, nazungumza sio kwasababu ya wale ninaowafuata ila naona kuna namna X imeshuka viwango ambavyo wengi ya watumiaji tuliojiunga miaka 10+ nyuma sio sawa na kipindi hiki, naweza sema pia ni sawa na hata hapa Jf tulioanza fuatilia miaka 10+ nyuma tunaona utofauti mkubwa na hii ya sasa
 
Huku pascal mayala kachafua Jukwaa la JF kujipa cheo cha kutuwakilisha wakati tujampa cheo.Wana JF tulaani tukio la Mayala =njaa au Mayala = fisi wa simiyu
 
Nitajie hao wa kuengage nao ,Yule mlopokaji elon au hao watoa Tweet za Rambi Rambi na pongezi Kila kukicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…