Nimerejea JF baada ya kuupitia mtandao wa X (Twitter)

Nitajie nimfolow nani ili nipate vya uhakika,Madenge ,spana konk ,tajiri la kihaya ,ney poul ,trump au huyo Elon tajiri anaepost post Kila content
twita celeb wa bongo content zao hata mimi sizikubali, labda wadau wa kilimo na ufugaji.
Ila twita ipe credit kwa siasa za dunia. Uchambuzi mwingi kama sio wote wa vita hapa JF unatoka twita.
Mnyonge mnyongeni
 
Kiwanda chako cha kuchakata viazi kuwa chipsi kinaendeleaje mkuu?
 
Welcome back Zero IQ
 
Kama lilivyo jina lako linalo represent upeo wako mdogo wa akili sishangai kukuona ukisema X ni mtandao wa kitoto.

X is too big 4 your insanity
Japo ameandika mengi ila ukweli katika andiko lake upo,X umekuwa mtandao wa hovyo,mapicha ya ngono yametapakaa,hakuna tena reasoning kule zaidi ya kufuata upepo,hakuna adabu wala heshima,mtu anayetukana ndiye anaonekana mjuaji........X kuna ujinga mwingi sana
 
Kule X Kuna hao mabroo wao,wenyewe wanajikuta Wana Akili kuliko wengine ,lakini kinyume chake ni utopolo tu ,
Wao tweet zao ata wakipost nukta wanasifiwa makoment kibao,ukiwagusa kidogo tu wanapandisha sukari,
Nilichogundua ni waoga kuliko Ata nyoka wanatembeza block kama njugu ,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu sio kwamba umekosa followers , maana kule X kupata hata wafuasi 10 sio kazi ndogo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…